matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
1:Anzia kijijini. Kule utapata wafuasi wengi wasio na uwezo wa kuhoji kipindi uwezo wako wa kushawishi Bado mdogo.
2: TUMIA Muda mwingi kusoma vitabu vya uchawi ili ujue watu wanalogwaje, vitabu vya migogoro ya ndoa, magomvi ya familia na ukoo. Ujue watu wakienda Kwa waganga Huwa wanafanywaje. Hii itakupa usikivu maana wote wanaoamini wamerogwa au watarogwa.
3: Soma vitabu vya ndoto na tafsiri zake. Vya kiislam,kijadi na walokole waliofanikiwa duniani.
4; Jifunze demonology. Uyajue makini na kazi zake kutoka katika vitabu vya wanaoyapenda. Kariri majina yake na hakikisha unayatajataja.
5: Soma biblia ukichagua vifungu vya kutia moyo watu. Jiaminishe kabisa kuwa nikweli.
6:Jipe Jina la utata la kukupa kiki. Kama utapenda ushirikina kidogo Jina Hilo ndio litakuwa code ya kuvutia nguvu za Giza kupumbazia watu. Ila bila ushirikina litatia utisho na urasmi flani mioyoni mwa vichwa vyako.
7: Be private. Jifichefiche watu wasikujue. Kaa mbali na watu kabisa. Muda mwingi uwe umejifungia ndani ukireheso tricks na kanuni za kuwafanya watu wakuamini. Ni rahisi kusema ulienda mbinguni na Kuna maelekezo umepewa na Yesu utaaminika maana watu hawjui Huwa uko wpi. Hat ukisema sijawahi kuugua au umefunga bila kula siku arobaini hakuna mwenye ushahidi wa kukupinga. Wakati mwingine hata mkeo/mmeo au watoto wasikujuejue.
Unaweza ukaanzia hapa.