matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #101
Bosihuwa tunatukanwa watu wachache Sana Duniani. Mwingine alikuwa Ni Yesu. Walimuita muhuni na mlevi.Umelaaniwa we pasi na shaka ww ni mshirika wa shetani
Karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bosihuwa tunatukanwa watu wachache Sana Duniani. Mwingine alikuwa Ni Yesu. Walimuita muhuni na mlevi.Umelaaniwa we pasi na shaka ww ni mshirika wa shetani
Hio ndo job yenyewe yakugetSio rahisi hivyo..ingekua rahisi kila mtu angefanya.
Get a job.
#MaendeleoHayanaChama
Yaah..imba hubiri kwa sauti hata kama ukiskia kiu usinywe maji wewe komaa tu..ndani ya wiki lazima uwe na sauti ya bass inayokwaruza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye njaa kali wakataka kunirarua ,,, endeleaHakuna jambo litashindikana, kultokea kundi la simba wapatao saba [emoji23][emoji23][emoji23]..,.Endelea
Mkuu Mimi uongo sitaki.So rahisi km enavyofikiri sio simple, kuna mama anapenda niwe mchungaji ila Mimi najijua sipendi uongo nimemkatalia, kuna kanisa la mchongo unatengenezewa jina, unapewa nyumba, unapewa gari, unapewa mavazi, unapewa kanisa, ila nguvu zako za miujiza ni za uongo, hio ipo ukitaka nicheck PM km unaweza kuishi na uongo, sharti uwe unaweza kuishi na uongo, usisahau shetani ndio baba wa uongo
Mwamshenga,mwamposa, mwakyembe, mwakalulu,Kumbuka kutafuta na jina la kinyakyusa[emoji1][emoji1]
😂😂anza hivi siku moja nikiwa london,mutu mumoja akanishika bega,nikashangaa huu muji wa wazungu nani ananijuwa.
Katika vitu nimeacha ni kusali makanisani...1:Anzia kijijini. Kule utapata wafuasi wengi wasio na uwezo wa kuhoji kipindi uwezo wako wa kushawishi Bado mdogo.
2: TUMIA Muda mwingi kusoma vitabu vya uchawi ili ujue watu wanalogwaje, vitabu vya migogoro ya ndoa, magomvi ya familia na ukoo. Ujue watu wakienda Kwa waganga Huwa wanafanywaje. Hii itakupa usikivu maana wote wanaoamini wamerogwa au watarogwa.
3: Soma vitabu vya ndoto na tafsiri zake. Vya kiislam,kijadi na walokole waliofanikiwa duniani.
4; Jifunze demonology. Uyajue makini na kazi zake kutoka katika vitabu vya wanaoyapenda. Kariri majina yake na hakikisha unayatajataja.
5: Soma biblia ukichagua vifungu vya kutia moyo watu. Jiaminishe kabisa kuwa nikweli.
6:Jipe Jina la utata la kukupa kiki. Kama utapenda ushirikina kidogo Jina Hilo ndio litakuwa code ya kuvutia nguvu za Giza kupumbazia watu. Ila bila ushirikina litatia utisho na urasmi flani mioyoni mwa vichwa vyako.
7: Be private. Jifichefiche watu wasikujue. Kaa mbali na watu kabisa. Muda mwingi uwe umejifungia ndani ukireheso tricks na kanuni za kuwafanya watu wakuamini. Ni rahisi kusema ulienda mbinguni na Kuna maelekezo umepewa na Yesu utaaminika maana watu hawjui Huwa uko wpi. Hat ukisema sijawahi kuugua au umefunga bila kula siku arobaini hakuna mwenye ushahidi wa kukupinga. Wakati mwingine hata mkeo/mmeo au watoto wasikujuejue.
Unaweza ukaanzia hapa.
Unatakiwa utoe namna ya kufungua kanisa lisilolamchongo usaidie watu.Unapanda uharibifu hni hakika utavuna uharibifu!! Mnaandika huku mkidhani kuwa mnafanya utani lakini shetani hana utani na yuko kazini!! Maadam umetumika na shetani tarajia kuvuna uharibifu hapa duniani kwanza kisha baadaye jehanamu ya milele!! Ni toba ya dhati tu ndiyo inayoweza kukuepusha na hukumu ya Mungu!
Note.kanisa la mchongo,sio kanisa la ukweliNishachukua notes.
HahahaJifunze kuongea kwa sauti kali na lafudhi ya nyanda za juu kusini,mtu muite mutu,mfano tamka mufano,kila ukihubiri ukiona wanaanza kusinzia tunga stori ya uongo ipakeoake mafuta,watu wanapenda mifano ya stori sana kanisani ,anza hivi siku moja nikiwa london,mutu mumoja akanishika bega,nikashangaa huu muji wa wazungu nani ananijuwa.
Muulize gwajimiunoVipi kuhusu kufufua watu?
Masharti yake ni yapi ndugu? Ili kumfurahisha mdhamini?So rahisi km enavyofikiri sio simple, kuna mama anapenda niwe mchungaji ila Mimi najijua sipendi uongo nimemkatalia, kuna kanisa la mchongo unatengenezewa jina, unapewa nyumba, unapewa gari, unapewa mavazi, unapewa kanisa, ila nguvu zako za miujiza ni za uongo, hio ipo ukitaka nicheck PM km unaweza kuishi na uongo, sharti uwe unaweza kuishi na uongo, usisahau shetani ndio baba wa uongo