jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Vipi kama butaki michongo ila unataka kufungua la ukweli ukweli? Tupe tips
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvaa kobasi1:Anzia kijijini. Kule utapata wafuasi wengi wasio na uwezo wa kuhoji kipindi uwezo wako wa kushawishi Bado mdogo.
2: TUMIA Muda mwingi kusoma vitabu vya uchawi ili ujue watu wanalogwaje, vitabu vya migogoro ya ndoa, magomvi ya familia na ukoo. Ujue watu wakienda Kwa waganga Huwa wanafanywaje. Hii itakupa usikivu maana wote wanaoamini wamerogwa au watarogwa.
3: Soma vitabu vya ndoto na tafsiri zake. Vya kiislam,kijadi na walokole waliofanikiwa duniani.
4; Jifunze demonology. Uyajue makini na kazi zake kutoka katika vitabu vya wanaoyapenda. Kariri majina yake na hakikisha unayatajataja.
5: Soma biblia ukichagua vifungu vya kutia moyo watu. Jiaminishe kabisa kuwa nikweli.
6:Jipe Jina la utata la kukupa kiki. Kama utapenda ushirikina kidogo Jina Hilo ndio litakuwa code ya kuvutia nguvu za Giza kupumbazia watu. Ila bila ushirikina litatia utisho na urasmi flani mioyoni mwa vichwa vyako.
7: Be private. Jifichefiche watu wasikujue. Kaa mbali na watu kabisa. Muda mwingi uwe umejifungia ndani ukireheso tricks na kanuni za kuwafanya watu wakuamini. Ni rahisi kusema ulienda mbinguni na Kuna maelekezo umepewa na Yesu utaaminika maana watu hawjui Huwa uko wpi. Hat ukisema sijawahi kuugua au umefunga bila kula siku arobaini hakuna mwenye ushahidi wa kukupinga. Wakati mwingine hata mkeo/mmeo au watoto wasikujuejue.
Unaweza ukaanzia hapa.
Sema tena, chioni ya leooo, mbengo zitafongookah
Umemaliza.Wajinga + ukosefu wa ajira = wateja
8.Uwe na chawa,1:Anzia kijijini. Kule utapata wafuasi wengi wasio na uwezo wa kuhoji kipindi uwezo wako wa kushawishi Bado mdogo.
2: TUMIA Muda mwingi kusoma vitabu vya uchawi ili ujue watu wanalogwaje, vitabu vya migogoro ya ndoa, magomvi ya familia na ukoo. Ujue watu wakienda Kwa waganga Huwa wanafanywaje. Hii itakupa usikivu maana wote wanaoamini wamerogwa au watarogwa.
3: Soma vitabu vya ndoto na tafsiri zake. Vya kiislam,kijadi na walokole waliofanikiwa duniani.
4; Jifunze demonology. Uyajue makini na kazi zake kutoka katika vitabu vya wanaoyapenda. Kariri majina yake na hakikisha unayatajataja.
5: Soma biblia ukichagua vifungu vya kutia moyo watu. Jiaminishe kabisa kuwa nikweli.
6:Jipe Jina la utata la kukupa kiki. Kama utapenda ushirikina kidogo Jina Hilo ndio litakuwa code ya kuvutia nguvu za Giza kupumbazia watu. Ila bila ushirikina litatia utisho na urasmi flani mioyoni mwa vichwa vyako.
7: Be private. Jifichefiche watu wasikujue. Kaa mbali na watu kabisa. Muda mwingi uwe umejifungia ndani ukireheso tricks na kanuni za kuwafanya watu wakuamini. Ni rahisi kusema ulienda mbinguni na Kuna maelekezo umepewa na Yesu utaaminika maana watu hawjui Huwa uko wpi. Hat ukisema sijawahi kuugua au umefunga bila kula siku arobaini hakuna mwenye ushahidi wa kukupinga. Wakati mwingine hata mkeo/mmeo au watoto wasikujuejue.
Unaweza ukaanzia hapa.
"hilo nalo mkalifanyie kazi"Vipi kuhusu kufufua watu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jifunze kuongea kwa sauti kali na lafudhi ya nyanda za juu kusini,mtu muite mutu,mfano tamka mufano,kila ukihubiri ukiona wanaanza kusinzia tunga stori ya uongo ipakeoake mafuta,watu wanapenda mifano ya stori sana kanisani ,anza hivi siku moja nikiwa london,mutu mumoja akanishika bega,nikashangaa huu muji wa wazungu nani ananijuwa.
Mecheka kwa nguvu 😂😂😂😂Sema tena, chioni ya leooo, mbengo zitafongookah
Hebu tuinuke tuombe Ooh haleluya bababashakalabobobo sakata tumbaa ai katumba aswaapapapa aswaaa papapaa sakataaa bolokoshokoloo gooooooooooooooooooooooooooooooooooloo hapanaa sio gooli wote tuseme ameen
Mkuu umetisha sanaa[emoji119][emoji119]Jifunze kuongea kwa sauti kali na lafudhi ya nyanda za juu kusini,mtu muite mutu,mfano tamka mufano,kila ukihubiri ukiona wanaanza kusinzia tunga stori ya uongo ipakeoake mafuta,watu wanapenda mifano ya stori sana kanisani ,anza hivi siku moja nikiwa london,mutu mumoja akanishika bega,nikashangaa huu muji wa wazungu nani ananijuwa.
Ukiona kanisa lolote limesimama basi ujue ni kwa neema ya Mungu. Watu wengi wanapenda kudhania kuwa mwanzilishi wa huduma na kanisa anapata hela ila sio kweli. Inataka moyo sana kusimamia huduma. Huyu mwandishi hapa ni wale wanaoamini kila dhehebu jipya ni ovu.Muone Execute akupe muongozo.