Jinsi ya kufungua kanisa 'la Mchongo' la kilokole na upige pesa Kwa Muda mrefu

Jinsi ya kufungua kanisa 'la Mchongo' la kilokole na upige pesa Kwa Muda mrefu

Hebu tuinuke tuombe Ooh haleluya bababashakalabobobo sakata tumbaa ai katumba aswaapapapa aswaaa papapaa sakataaa bolokoshokoloo gooooooooooooooooooooooooooooooooooloo hapanaa sio gooli wote tuseme ameen
 
Labda kuanzisha uganga. kanisani siku wewe mchungaji ukiangushwa na pepo ndipo tutashangaa
Mungu anakuwa hayupo hapo! Jina la Yesu linatajwa ila sio kwa imani! Imani sio zile kelele! Kama madhabahu ni ngome ya adui zilitolewa makafara hapo wote mnapumbazika!

Sasa madhabahu za hivyo marufuku kualika watumishi wa kweli na watumishi wataoalikwa wanakuwa wameshachunguliwa kwenye rada zao level ya nguvu alizobeba.

Mnachanganywa na kukemea pepo sasa mkienda kwenye mihadhara ya kiislamu wanavyokemea pepo kwa imani yao si mtasilimu?

Mimi namfahamu mtumishi aliyewahi kumtembelea mwenzake mmoja maarufu na ilipofika muda wa sadaka mkono wa yule mtumishi mgeni uligoma kufunguka kuachia sadaka! Hadi akaghairi, usiku akaota ndoto akionywa asirudie kwenda kwenye ile madhabahu ni ya kishetani! Just be careful msivamie kila huduma ovyo kwasababu wanakemea pepo na shuhuda za hapa na pale.
 
Jifunze kuongea kwa sauti kali na lafudhi ya nyanda za juu kusini,mtu muite mutu,mfano tamka mufano,kila ukihubiri ukiona wanaanza kusinzia tunga stori ya uongo ipakeoake mafuta,watu wanapenda mifano ya stori sana kanisani ,anza hivi siku moja nikiwa london,mutu mumoja akanishika bega,nikashangaa huu muji wa wazungu nani ananijuwa.
Hahahaha! Wewe jamaa umenivunja mbavu aisee!
 
Jifunze kuongea kwa sauti kali na lafudhi ya nyanda za juu kusini,mtu muite mutu,mfano tamka mufano,kila ukihubiri ukiona wanaanza kusinzia tunga stori ya uongo ipakeoake mafuta,watu wanapenda mifano ya stori sana kanisani ,anza hivi siku moja nikiwa london,mutu mumoja akanishika bega,nikashangaa huu muji wa wazungu nani ananijuwa.
Hahaaa. Stori ni muhimu sana. "Nilifika pori moja, yapata usiku wa saa sita, pikipiki imeniharibikia, giza zito na wingu vimetanda. Pande zote ni msitu mnene. Nikasema bwana, kwa kuwa nimekuja kufanya kazi yako....." Endeleaa
 
Back
Top Bottom