Jinsi ya kujizuia usimpende sana mtu

Mwandiko wako mbayaaaaa! Jifunze kuacha nafasi, kuweka kituo, aya, kuanza sentensi na herufi kubwa n.k
 
Mwandiko wako mbayaaaaa! Jifunze kuacha nafasi, kuweka kituo, aya, kuanza sentensi na herufi kubwa n.k
hatupo kwenye kwenye somo la lugha ila lengo kubwa ni ku deliver ujumbe. any way labda masomo uliyosoma au fani yako ndo inakufanya uwe smart katika kuandika labda.
 
Ukimpenda mtu jiachie nae tu... Ukijibana bana unaidhulumu nafsi...


Cha kuzingatia tu, usielekeze saaaanaa akili na mawazo yako kwenye mapenzi... Jipe nafasi ya kufikiri, kuwaza na kufanya mambo mengine...

Cc: mahondaw
 
Mtume getto kwangu aje kuchukua maelekezo ya kuzuia hisia akuletee.
 
Wanawake wako very complicated katika mapenzi...ukimpenda mwanamke sana atakunyanyasa na kukuburuza(japo wapo wasiofanya hivi but ni 2%)...Ukimpenda ile kawaida tuu na kumpa uhuru na maisha yake(kujiheahimu na kumheshimu) bila kujishusha wala yeye kuwa na kauli dhidi yako atakupenda sana+ other relationship facts eg pesa, mapenzi ya njiwa...kikubwa wanawake wanapenda wanaume tulio na kauli moja, waelewa, wasiojaribika kiboya katika kuzoeana beyond boarders, wanaojali, wachangamfu though sio sanaa, wanaojali etc..! Jifunze kuzijua tabia za mwanamke kwa apendacho na achukiacho then draw a road map of your relationship an... etc
 


Eti 2% ndio wazuri?!!...kweli umetuonea. πŸ™‚
 
Eti 2% ndio wazuri?!!...kweli umetuonea. πŸ™‚
Seriously mpo wachache sana...sana sana ni kwa wale wanaoanza mapenzi na wale waliotendwa vikauma sana ndo utaona wanajua jinsi ya kupenda but ni baada ya kuona dalili ama uhakikisho wa kupendwa na mwanaume aliye nae.
 
Seriously mpo wachache sana...sana sana ni kwa wale wanaoanza mapenzi na wale waliotendwa vikauma sana ndo utaona wanajua jinsi ya kupenda but ni baada ya kuona dalili ama uhakikisho wa kupendwa na mwanaume aliye nae.

Hapo pa kuona uhakikisho wa kupendwa kuna ukweli, ni vizuri kuwa makini badala ya kuingia mazima. Lakini still, 2% bado ndogo sana bwana. Sema hata 40% basi, kama hutaki hata kutupa nusu. πŸ™‚
 
Mkuu nifanyaje sasa.. Maana mimi sitaki kumchezea tu mtoto wa watu...
Kwanza mshughulikie maana huyo siyo Dada yako. Ndipo atakapo pata uhakika kuwa kweli were in mwanaume. Bila kumshughulikia hakuna cha kupendwa. Hata kama una pesa kiasi gani bila kumchomeka no Nazi bure. Kumbuka tu akiwa kwao kila kitu anapata, kasoro penzi la mwanaume. Maana nyumbani kuna baba, kaka ambao hawawezi kuchomeka.
 
Baadhi ya wanawake si wote Mkuu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…