Jinsi ya kujizuia usimpende sana mtu

Eeeh unampenda kwa 10%. Kazi ipo na hivi vipimo teh, kama humuamini si usepe tu jamani, why kuishi kwa kuviziana?


Hahah, yaani ni bora kusepa tu kwa kweli kuliko kuishi kwa pressure zisizo na kichwa wala miguu kisa binadamu mwenzio.
 
Kitu pekee nilichojifunza ambacho ninakiishi, na nitaendelea kukiishi katika mahusiano ni kutokuangalia nilitendwa kiasi gan na niliteseka kias gani, ingawa muda mwingine huwa nayaangalia yale kama reference ya kunifanya niboreshe zaidi na kikubwa zaid ni kuonesha mapenzi ya dhati kwa mtu ninaemridhia kitu ambacho huwa kinabaki kuwa mzigo mzito kwa aliekutenda
 
Baadhi ya wanawake si wote Mkuu.
Yeeahp namba ilikuwa 50% wakati wa utawala wa Mheshimiwa aliyepita...but kwa msimu huu...oouuhh oouhhh imefika 2%( But sibishani kuwa hawapo Nope WAPOOO
 
ww oa hyhy chamsingi anakupnda n ww unampnda angalizo ninachoamini mungu apungukiwi na kitu kama hy binti hata kuwa chaguo lako basi uwe na imani utapata mwngne jiamini tumeumbiwa moyo w kupndana lakini tumia n akili ndg
 
Ingia katika mahusiano ukijua wewe ni binadamu na unayempenda ni binadamu pia.Chochote kinawezekana.
 
Tatizo siku hizi tunaishi kwa historia kisa fulani katoswa basi na ww utatoswa em tuache mawazo kama hayo Mungu kama kakupangia kakupangia tu. Em jaribu kuishi maisha ya mahusiano bila kufikiria kuachwa kama ikitokea utawexa himili stress tu, Kama mwanamke kakuoneshea dalili za kukupenda tena sana kwann ww usimpende?
LOVE HER NOT IGNORE HER FEELINGS BRO IF IT WILL HAPPEN YOU WILL WITHSTAND STRESS.
 


Naunga mkono hoja.

Ni kweli tatizo ni negative mind.
 
Naunga mkono hoja.

Ni kweli tatizo ni negative mind.
Kama ulitendwa ukipata mwingine ishi nae kama hujawahi kutendwa mpende na mthamini pia huenda ndio fungu lako, cku zote ukiwa unafikiria negative na kwel ndo itakuwa outcome yake et be careful bro hamna dawa ya kujizuia kupenda kama ipo na mm wanipe.
 
Kama ulitendwa ukipata mwingine ishi nae kama hujawahi kutendwa mpende na mthamini pia huenda ndio fungu lako, cku zote ukiwa unafikiria negative na kwel ndo itakuwa outcome yake et be careful bro hamna dawa ya kujizuia kupenda kama ipo na mm wanipe.


Ni kweli, mara nyingi sana tunapoweka vitu negative kama vile mawazo na mwenendo, we most likely position ourselves to fail.

Ndo maana nikamwambia huko nyuma love like you've never been hurt.
 

Kwa nini unataka kujizuia usimpende sana mtu? Kwani uliambiwa kupenda ni dhambi?
 
Cna cha kukushaur maana tayar naona ulishaamua,haiwezekan mpaka unamsubir ghetto alaf nikushaur unielewe.
Kaz kwako mkuu
 
umegusa penyewe mkuu nimepata kitu hapo!
 
Ukimpenda mtu jiachie nae tu... Ukijibana bana unaidhulumu nafsi...


Cha kuzingatia tu, usielekeze saaaanaa akili na mawazo yako kwenye mapenzi... Jipe nafasi ya kufikiri, kuwaza na kufanya mambo mengine...

Cc: mahondaw

Yes yes yes yes yes Ofcourrrrrse
You have to follow your heart but carry your brain with you.
Otherwise.......
Nakupenda sana ila

Wacha nifunge domo langu mie
cc: Smart911
 
Nimekupata vema kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…