Hiyo namba yoyote ndio tupe formula yake kwa wa kati na juu ! Utakuwa umesadia sanaOk sawa my bad, ni mfano tu unaweza kuweka namba yoyote ile badala ya 28!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo namba yoyote ndio tupe formula yake kwa wa kati na juu ! Utakuwa umesadia sanaOk sawa my bad, ni mfano tu unaweza kuweka namba yoyote ile badala ya 28!
Muache hajasoma maths. Yaani ungempatia formula hawezi kokotoa anataka umtafunie kabisa. Ikiwezekana weka hapa madaraja ya mishahara itakavyokuwa . Mana sie kufanya uchunguzi ni kazi SanaOk nimeweka tu formula kiujumla jinsi ya kukokotoa ongezeko la mshahara !
Waambie hao tena kwa taarifa tu mtumishi aliye na mshahara wa chini ongezeko lake ni dogo kuliko mtu mwenye daraja kubwa la mshahara kwa mfano kwa walimu mtumishi mwenye tgts B1 hawezi lingana ongezeko na mtu wa tgtsC1, rejea ongezeko la mishahara mwaka 2015Ingekuwa hivyo basi kuna siku watumishi wa ngazi za chini wangelingana au kuwazidi watumishi walio juu yao. Ngoma inaongezeka kote kote, kuanzia chini hadi juu
940000 ni kima cha chini cha wapi?Mkuu
ACHA uongo
Yaani iwe hivi!!?
23/100=0.233
0.233×940000/= =219020/= ?
HALAFU
940000+219020= 1,159,020/= ?
KWA wale wenye TGTS E?
Haiwezekani we Jamaa!!??
Yani umefungulia uzi hiki ulichopost?Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango ulichoongezwa.
Huo mshahara kabla ya Kodi ndio ukokotoe!
Chukua mshahara wako GROSS SALARY X 1.233 = MSHAHARA MPYANimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango ulichoongezwa.
Huo mshahara kabla ya Kodi ndio ukokotoe!
Yaani watu kusoma na kuchanganua mambo shida daah,wanafikiri ni kwa wafanyakazi wote..I agree with you👍Hiyo formula haiwezi fanya Kazi.......
Ongezeko hilo la Rais Samia, ni kwa wale tu waliokuwa wanapata kiwango cha chini cha 270,000.🥺
Ukiondoa kima cha chini hiyo 23.3% wengine watalamba 2%, 4, 12, 7 , 8 etc ila hawatafika ongezeko la watu wa kima cha chini. Uko sahihi kabisa mkuu.Sio kweli! Wale wa kima cha chini wataongezewa kwa 23.3% ambacho ndiyo kitakuwa kiwango cha juu zaidi. Wengine watapata nyongeza accordingly lakini itakuwa ni china ya 23.3% na kiwango kinapungua kulingana na mshahara unavyoongezeka.
Kaka 23% ni kwa kima cha chini tuu!!! Wale wa juu inapungua hiyo %!!! Au ???regressive systemTanzania imejaa vilaza ndio maana wanasiasa wanatamba sana! Kama mshahara umeongezeka kwa asilimia 23% kwa mishahara yote, je kuna haja gani ya kusema Rais ameridhia ongezeko la 23% ya kima cha chini cha Mshahara!
Kama ni kwa wote si wangesema tu Serikali imeongeza mishahara kwa asilimia 23%.
Ngojeni akina Mrisho Mpoto na Mwijaku waje wawaeleweshe ndo mtawaelewa vizuri.
Mpangilio wa nyongeza za mishaha.Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango ulichoongezwa.
Huo mshahara kabla ya Kodi ndio ukokotoe!
Mkuu hiyo asilimia 23.3% ni kwa wale tu ambao walikuwa wanapata mshahara wa kima cha chiniHaya sema wewe jinsi nyongeza ya Mshahara inavyokokotolewa!
Mkuu
ACHA uongo
Yaani iwe hivi!!?
23/100=0.233
0.233×940000/= =219020/= ?
HALAFU
940000+219020= 1,159,020/= ?
KWA wale wenye TGTS E?
Haiwezekani we Jamaa!!??
Daah! Yaani sisi wa I ndio tumepewa asilimia 7.3 tu?Mpangilio wa nyongeza za mishaha.View attachment 2224993
Weka hivi 23.3÷100×Basic salary yakoNimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango ulichoongezwa.
Huo mshahara kabla ya Kodi ndio ukokotoe!
Acha ubishi kinapandishwa kima cha chini hivyo asilimia inawabusti madaraja yote ya mshaharaHaiwezekani,ongezeko Hilo ni kwa kima Cha chibi tuu.wengine wataongezewa kidogo.
Hayo madeni ya HSLB mnakaa nayo ya Nini badilisha litoke HSLB liende tasisi za kifedha NMB au CRDB ili muondokane na hii shida Ina maana kama bank wanakukata elfu 80, hili ongezeko haliendi sumbua take home yakoKwa mtu wa mshahara huo net Ongezeko ni around Tsh. 102,000/=
Kama una Deni la Hslb na mengine Yale ya kasaida Kama bima.
Hapo kwa hesabu za haraka kuanzia A-I hakuna atakaye pata zaidi ya laki nne(400,000/=).Hapo mwenye mishahara mikubwa ataambulia laki tatu.Weka hivi 23.3÷100×Basic salary yako
Mfano 23.3÷100×940000= 219202
Sasa hiyo ndio nyongeza ya asilimia 23.3%kabla ya makato mengine
Haya twende SasaWeka hivi 23.3÷100×Basic salary yako
Mfano 23.3÷100×940000= 219202
Sasa hiyo ndio nyongeza ya asilimia 23.3%kabla ya makato mengine