Jinsi ya kumfanya mwanamke akuheshimu na aheshimu muda wako

Jinsi ya kumfanya mwanamke akuheshimu na aheshimu muda wako

mwanamke akishakudharau, kuja kukuheshimu tena ni uongo. wana mioyo ya ajabu sana hawa watu wakiamua lao likiwa negative umekwisha.
akishakudharau hautakuwa comfortable kwake. uta loose tu. hautajiamini mbele yake na hapo otherwise uwe mtemi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuwa stoic tu and stop caring what she feel about you. thats how you will have peace. Be you the let her decide kama anataka kuendelea na ww au apite hivi
 
Ukosefu wa heshima ni matokeo ya ujinga. Kwann uendelee na mkataba na mtu mjinga
 
Yaani gazeti lote hili ni kwa ajili ya kumfanya Mwanamke akuheshimu!!?

Bro, Pesa ndio heshima pekee Duniani, utaheshimiwa sio tu na Mwanamke hadi viongozi wa Dini na wa Serikali,

#TAFUTA PESA.
Dhana ya mwanamke atakuheshim coz una hela ni utumwa mpya utakaotumaliza wanaume na WANAWAKE!!

Ni biashara ya utumwa iliyohalalishwa na jamii kwamba mwanamke ni chombo kama vyombo vingine na ananunulika!

Yaani utu wake,hisia zake na hatma yake inanunuliwa na pesa!!

Wanaume tukiingia kingi kwa HILI la kununua hisia bas tumegeuzwa maroboti yaani mashine za kuchapisha noti!!

Binafsi sishobokei mwanamke anaenishobokea au kuniganda kisa nina pesa!coz mimi sikuzaliwa na pesa na nina halo ya kuthaminiwa hata kama sina pesa hata kama ninazo!!

Kuna maumivu fulani na ya feel ninapofikiri kwamba ilu nipendwe na kuheshimika kwenye jamii lazima niwe na pesa,ukwasi,ama utajiri hayo ni matumizi mabovu ya seli za kiumbe hai wa kiume!!
 
Nakubali mkali tatizo wanaume hawajiamini ile kauli ya hela mbele imeathiri wanaume wengi lakini mifano tunayo humu humu kwenye jamii zetu wapo watu vipato vya kawaida na hawaletewi dharau za ajabu ajabu. Pesa inaleta amani sana ukiwa nayo ila wapo watu kibao na pesa zao hawaheshimiwi kabisa
Yap
 
Dhana ya mwanamke atakuheshim coz una hela ni utumwa mpya utakaotumaliza wanaume na WANAWAKE!!

Ni biashara ya utumwa iliyohalalishwa na jamii kwamba mwanamke ni chombo kama vyombo vingine na ananunulika!

Yaani utu wake,hisia zake na hatma yake inanunuliwa na pesa!!

Wanaume tukiingia kingi kwa HILI la kununua hisia bas tumegeuzwa maroboti yaani mashine za kuchapisha noti!!

Binafsi sishobokei mwanamke anaenishobokea au kuniganda kisa nina pesa!coz mimi sikuzaliwa na pesa na nina halo ya kuthaminiwa hata kama sina pesa hata kama ninazo!!

Kuna maumivu fulani na ya feel ninapofikiri kwamba ilu nipendwe na kuheshimika kwenye jamii lazima niwe na pesa,ukwasi,ama utajiri hayo ni matumizi mabovu ya seli za kiumbe hai wa kiume!!
Pesa inaleta heshima sio tu kwa Mwanamke hadi kwa wazazi wako,
Tafuta Pesa Bro, Umaskini ni laana.
 
Ambatanisha na ushahidi unaoonyesha kwamba asili ya mwanamke ni kuharibu.....

Vijana skuizi jau sana[emoji23]
 
Pesa ndio kila kitu wewe acha kujifariji,
Umaskini unadhalilisha
Kwani nimekataa ila umeelewa point wapo wenye pesa na hawaheshimiwi. Na nyie mnaojidai mnapenda pesa mnabaki kuliwa na wababu na mnatembea mbele maisha hamna sasa faida ya hizo pesa ni nn
 
Nimeelewa somo japo mwanamke ni too complex system, na bahati mbaya zaidi utakuta walimu wenyewe kama wewe wameshapigwa tayari
 
Yaani gazeti lote hili ni kwa ajili ya kumfanya Mwanamke akuheshimu!!?

Bro, Pesa ndio heshima pekee Duniani, utaheshimiwa sio tu na Mwanamke hadi viongozi wa Dini na wa Serikali,

#TAFUTA PESA.
Na wewe ustadhat wetu unamuheshimu Kaka yetu kisa anapesa au tukueleweje
 
Kwamba mwanamke ni mharibifu kiasili😳😳🙆🙆🙆
 
Kwani nimekataa ila umeelewa point wapo wenye pesa na hawaheshimiwi. Na nyie mnaojidai mnapenda pesa mnabaki kuliwa na wababu na mnatembea mbele maisha hamna sasa faida ya hizo pesa ni nn
Hakuna mwenye pesa Dunia hii na asiheshimiwe,
Hao Mababu wanatoa Pesa na wanapewa heshima pia

Tafuta pesa punguza makasiriko
 
Back
Top Bottom