Jinsi ya kumfanya mwanamke akuheshimu na aheshimu muda wako

Jinsi ya kumfanya mwanamke akuheshimu na aheshimu muda wako

Awe na pesa asiwe na pesa lazima kigezo awe na mvuto pisi iliyosimama kazi mbovu hapana.

Raha ya pesa uzile na manzi mrembo asikwambie mtu. Hata ukitoka naye outing mkiingia kiwanja watazamaji waseme yess chuma hiko kinaingia
Na ukiwa na Pesa ndio utawapata warembo wenye mvuto, kikubwa ujue kugharamia tu,

Wewe nenda hata sehemu za starehe za high class uone pisi za huko kama zimeshushwa walai, wajiuliza huyu hata toi anaenda kweli? Watekeee, mideko kama yote [emoji23], so tunarudi kule kule tafuta pesaaaaa
 
Na ukiwa na Pesa ndio utawapata warembo wenye mvuto, kikubwa ujue kugharamia tu,
Wewe Dr mbona hutaki kulegeza fuvu uelewe? 😀

Nimesema tukiwa na pesa tunahudumia pisi kali tu zenye mvuto ambazo hata ukienda nazo sehemu za starehe za high class hauhaibiki akikushika mkono au akikuchum kwa shavu au lips. Tutatafuta pesa kwa ajili ya warembo tu

Wabovu tutadeal nao tukifulia
 
Ukiona pesa unatoa Bado huheshimiwi solution rahisi Sana punguza pesa uliyokuwa unatoa mfano ulikuwa unaacha 10000 Kila asubuhi Anza kuacha 5000 ukiona huheshimiwi Bado Anza kuacha 2500 ukiona huheshimiwi Bado Anza kuacha 1000 ukiona Bado huheshimiwi Acha kutoa pesa Kwa siku kadhaa alafu angalia kitakachotokea.Watasanda ttu wenyewe alafu wape 3000 wataiona kamaa 10,000 heshima itarudi.Huwezi kupata heshima Kwa kutoa huduma kirahisi mfano mwanafunzi anayeingia Darasani amenunua boksi la peni akaanza kugawa Bure hataheshimwa kama yule aliyetafutwa na mtu mwenye shida ya peni akaamua kutoa Bure.
Scarcity is the way to go
 
Asili ya mwanamke ni kuharibu mambo.

Asili ya mwanaume ni kuweka vitu pamoja/ kuvifanya viwe vya sawa/kawaida.
Man mwanamke ni wa kuchapa na kusepa,ukioa mali mwandike mama hizo nyingine ni kupoteza muda tu,kiumbe mwanamke ni nuksi tangu enzi,kukagu kagua mipaka mwishowe utakuta minyau ufe na presha...POTELEA MBALI
 
Wewe Dr mbona hutaki kulegeza fuvu uelewe? [emoji3]

Nimesema tukiwa na pesa tunahudumia pisi kali tu zenye mvuto ambazo hata ukienda nazo sehemu za starehe za high class hauhaibiki akikushika mkono au akikuchum kwa shavu au lips. Tutatafuta pesa kwa ajili ya warembo tu

Wabovu tutadeal nao tukifulia
Wewe ndio unakaza fuvu, hapa anaambiwa kijana atafute pesa apate heshima anayoitaka, mambo ya pisi kali sisi hatutaki kujua ni matumizi yako mwenyewe, kikubwa TAFUTA PESAAAAAAA
 
Back
Top Bottom