Jinsi ya kumfanya mwanamke akuheshimu na aheshimu muda wako

Hakika mkuu.... wanaume lazima tushtuke mapema lasivyo kutakuwa na mfululizo wa thread za wanaume kupigwa matukio na wanawake
 
Vijahawapuzi kabiz.a badaraya kuwpngereya uhuchumimunaogereya mapezi.ichiiyi vijanawapuzi
Jifunze kuandika kwanza, utakuwa na uchumi gani hata kuandika hujui?

By the way umepotea njia hili ni jukwaa la MMU, jukwaa la uchumi umeliacha hapo njia panda nenda huko ukutane na wachumi wenzako usilete ushubwada hapa.
 
Mie naomba napataje ujasiri wa kukwepa vibomu vya huyu mrembo pisi kali? Yaani sauti yake tuu akisema bby ata kama nilipanga kutomtumia hela najikuta nalainika tuu natoa. Ebu nipe mbinu nitafirisika mwenzenu.
 
Ukiona pesa unatoa Bado huheshimiwi solution rahisi Sana punguza pesa uliyokuwa unatoa mfano ulikuwa unaacha 10000 Kila asubuhi Anza kuacha 5000 ukiona huheshimiwi Bado Anza kuacha 2500 ukiona huheshimiwi Bado Anza kuacha 1000 ukiona Bado huheshimiwi Acha kutoa pesa Kwa siku kadhaa alafu angalia kitakachotokea.Watasanda ttu wenyewe alafu wape 3000 wataiona kamaa 10,000 heshima itarudi.Huwezi kupata heshima Kwa kutoa huduma kirahisi mfano mwanafunzi anayeingia Darasani amenunua boksi la peni akaanza kugawa Bure hataheshimwa kama yule aliyetafutwa na mtu mwenye shida ya peni akaamua kutoa Bure.
 
Kuna point hapo lakini bado kuna mambo kama mwanaume usipoyafanya Hata umkomoe vipi mwanamke hatakuheshimu cha kwanza ni kuwa na misimamo na kuwa na kauli yenye mamlaka kujua mipaka na kuwa na hekima kwenye mambo yenu
 
Yaani gazeti lote hili ni kwa ajili ya kumfanya Mwanamke akuheshimu!!?

Bro, Pesa ndio heshima pekee Duniani, utaheshimiwa sio tu na Mwanamke hadi viongozi wa Dini na wa Serikali,

#TAFUTA PESA.
Ukitaka mwenye pesa na wewe angalau mashallah uwe pisi hatuchukuagi kazi mbovu
 
Tafuteni pesa, wenye pesa hukutana na wenye pesa wenzao, sasa unakaa Buza utakutana na nani kama sio vinchenchede wenzio
Awe na pesa asiwe na pesa lazima kigezo awe na mvuto pisi iliyosimama kazi mbovu hapana.

Raha ya pesa uzile na manzi mrembo asikwambie mtu. Hata ukitoka naye outing mkiingia kiwanja watazamaji waseme yess chuma hiko kinaingia
 
Kuna point hapo lakini bado kuna mambo kama mwanaume usipoyafanya Hata umkomoe vipi mwanamke hatakuheshimu cha kwanza ni kuwa na misimamo na kuwa na kauli yenye mamlaka kujua mipaka na kuwa na hekima kwenye mambo yenu
Kama msimamo tu Hilo linafanyiwa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…