Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Kwanini iwe mwanaume tuu kutumikia??

Kwa sababu Mada hii inahusu Mwanaume kumfurahisha Mwanamke.
Zîpo Mada ñyiñgine zinazoeleza Mwanamke kumfurahisha Mumewe. Ndîo maana waô Wana kitchen party

Kwa nini uone shida kumfurahisha Mwanamke anayempenda, aliyekuzalia Watoto na mnajenga familia na kizazi chenu Kwa pàmoja kama wewe Hauna tatizo la Àkili?

Kumfurahisha unayempenda ni Wajibu. Kuanzia Mke, Watoto na Wazazi. Hata Mungu pia
 
Kwa nini nimfurahishe mwanamke,?
na mimi atanifurahisha nani?
kila mtu ajifurahishe mwenyewe

Hawanaga shukrani niache kutafuta hela eti nikae kufurahisha toto la mtu,akafurahishwe na baba yaje huku.
Fight for your children ,not for women
 
Pia hakikisha unashtua shtua mahusiano.
Mara moja moja Akamate hata meseji tata..

Akiona mbona hakuna mwanamke mwingine anayekutamani anaweza kuhisi ana mume ndondocha labda.

Hakikisha hizô meseji hazimsifii huyo Mwanamke WA NJE ila zionyeshe kuwa wanakupapatikia na kukutongoza.

Hiyo inaitwa rebranding 😃
 
Ukifanya yote hayo yeye atakupa nini?
 
Kwa nini nimfurahishe mwanamke,?
na mimi atanifurahisha nani?
kila mtu ajifurahishe mwenyewe

Hawanaga shukrani niache kutafuta hela eti nikae kufurahisha toto la mtu,akafurahishwe na baba yaje huku.
Fight for your children ,not for women

Kumfurahisha unayempenda ni kujifurahisha mwenyewe hiyo NI Saikolojia Mkûu.

Kama Huna unayemfurahisha tafsiri yake hauna furaha period
 
Hivyo vyote sijui kuhusu sanaa vinakuwa na nguvu siku za mwanzoni ila baada ya muda vinazoeleka na vinaanza kuwa bored kwa mwenzako.

Hata pesa nayo huzoeleka ila hii kidogo inachukua muda tofauti na hayo mambo ya kisanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…