Hii ipo simple kuifata!..Mhu kwaresima ndiyo muda mzuri kuanza. Leo ni majivu hivyo unywe maji tu mpaka saa kumi na mbili, baadaye kunywa uji wa mchele tu wenye maziwa na ulale. Kesho kabla ya kazi kunywa maziwa mgando glass halafu nenda kazi. Kunywa maji mpaka saa nane weka salad. Rudi home weka mgando na salad halafu kalale. Amka usiku kunywa maji as you feel like.
Ruge angekunywa maji usiku angeishi Dr. wake alikuwa anashuri kuhusu maji. Ruge nasikia hakunywa pombe. Wanywa pombe wote kujeni hapa, kunywa maji usiku hata lita mbili ili muondoe sumu mwilini na mafuta.Hii ipo simple kuifata!..
Ni muda gani sasa tangu umeanza kuwa serious na gym?Gym nahudhuria vizuri tu kila nitokapo kazini ila mabadiliko bado sijayaona.
Mbaya zaidi shemeji yako ananisema kila siku hataki hichi kitambi anasema naonekana mtu mzima akati bado ni kijana tu.
Hapa ndio napata stress mwenzio
Ruge angekunywa maji usiku angeishi Dr. wake alikuwa anashuri kuhusu maji. Ruge nasikia hakunywa pombe. Wanywa pombe wote kujeni hapa, kunywa maji usiku hata lita mbili ili muondoe sumu mwilini na mafuta.
cc Mshana jr., Mrangi na wengine. mimi karibu nastaafu.
Samahani mimi nimeaangalia Dr. wake kwenye U tube ambaye amelelewa na Ruge na anasema Ruge alikuwa na matatizo ya Figo. Sijasema Ruge hakunywa maji ila nimemsikia Dr. wake anazidi kusisitiza kuwa maji ni muhimu kwa figo. You can put the dots together. Ingia U tube msikilize Dr. ambaye ni kijana alihojiwa kuhusu kifo cha Ruge ni mtanzania ambaye alikuwa recruited na Ruge.Huwezi jua kilichomuua ruge bado ni siri.
Ila MTU kufa kisa hujanywa Maji ni aibu. Kila Siku ma Dr wanapiga kelele tunywe hata Lita 2 kwa Siku.
Je unataka kusema ruge hili alikuwa halijui wakati ukishakuwa na tatizo la figo inabidi ujipe adhabu ya kunywa Lita 5kwa Siku na kuacha sukari na chunvi je ruge hakuambiwa???
Acha kula wanga kama mwezi hivi afu kila siku kimbia hata kilomita tatu lazma kiishe hicho..
Hapa usile ugali, wali, ndizi za kuiva, mikate mweupe, wewe kula protini na mboga za majani tu
Wengine washauri wapate ukimwiNipe namba ya simu ya mkeo,ukijua nambanjua mkeo ndani ya siku3 utabakiwa na kilo 3
nakuona online,msaada hapa...... ulifanyeje?Tutajaribu tu ,
Yaani nakumbuka nilivyokuwa flat nikivaa nguo inakaa mahala pake
baada ya kujifungua hiyo mitori na supu loooh nguo zote zilinibana nikaona mmh sasa naelekea kubaya
Ila MziziMkavu nilifanya jambo moja toka March naona mpaka sasa nimepunguza Kg 9
ili katumbo bado kidogo itabidi nianze situp
Hazina jina Ia kiswahili..! Dsm kuna mtu anazo sijui wewe uko wapi, kwa Arush nicheko inbox
Mzizimkavu,
Asante kwa darsa,vipi mbona mnyama wa taifa haujamzungumzia kabisa ?.