Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Hii ipo simple kuifata!..Mhu kwaresima ndiyo muda mzuri kuanza. Leo ni majivu hivyo unywe maji tu mpaka saa kumi na mbili, baadaye kunywa uji wa mchele tu wenye maziwa na ulale. Kesho kabla ya kazi kunywa maziwa mgando glass halafu nenda kazi. Kunywa maji mpaka saa nane weka salad. Rudi home weka mgando na salad halafu kalale. Amka usiku kunywa maji as you feel like.