Jinsi ya kuosha maiti hatua kwa hatua

Siwezi kubishana Mimi!nimekujibu hivi,"wewe una dini yako na mimi nna yangu"

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Dini zina mafundisho.
Nipe hilo fundisho, limeandikwa wapi kwenye kitabu cha Dini hiyo tuone kweli ni maagizo ya Dini husika.
Huo ni ushirikina dhahiri, na ndio maana unafichwaficha.
Ushirikina hauwekwi wazi hata kidogo.
Mungu hawezi kuamrisha huo udhalimu.
 
Haya mathreads ya kijinga sana, kuna dini kila kukicha wanaongelea maiti mara kufa mara kuzikana.

Maisha ni mafupi, furahia kipindi ambacho upo hai.

Kila mtu atakufa lakini isiwe kigezo cha kukumbushana kila siku.

Uzi wa kijinga
Nikukumbushe kaa ukifahamu kama ilivyosiku yako ya kuzaliwa basi kaa ukijua kila mwaka utakaouvuka tambua unavuka tarehe, mwezi na siku yako ya kifo
 
Uislamu ni Raha sana yni unatakiwa upelekwe kwa Mola wako ukiwa msafiiii na hata ukipelekwa kaburini unasindikizwa mpka pale ndani ya kaburi hebu angalia huruma na upendo wa Uislamu kwa mwanadamu sasa njoo upnde wa pili huku unashushwa na makamba kaburini ata hawataki ata kukusindikiza [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Najivunia kua Muislamu
 
Hayo maji ya kutokea huko huwa wanayauza yakiwa kizimba cha uchawi ndugu zetu hawa hawana dogo ni malighafi muhimu sana kwenye ulozi hukumu ya Mungu aliye hai inawasubiri.
Toa uthibitisho wa ukisemacho bila ya uthibitisho ni porojo tu hizi kma porojo nyingine
 
Toa uthibitisho wa ukisemacho bila ya uthibitisho ni porojo tu hizi kma porojo nyingine
Wachawi wanaofanya hayo wameshashuhudia hayo na bei ni ghali kweli kweli. Kuhusu nani alisema tafuta shuhuda za wachawi wanaongelea hili. Si umeona mwingine kasema kuwa hizo ni nyama zinasafishwa iwe rahisi kuliwa. Mtu kafa kuna haja gani mwili unaoenda kuoza kuoshwa hivyo zaidi ya ushirikina tu. Roho, nafsi ila mwili ni wa kuoza tu mbwembwe zote za nini???!!
 
Tunaomba Aya.
Allah anawaamuru kukamua mavi ya maiti.
Nyinyi ndio mnao uchafua Uislamu.
La ni Bora useme tu kuwa ni tamaduni za kale za baadhi ya Waarabu nanyi mmeiga.

Wacha kabisa Kumsingiza Allah Kwa Jambo hili.
Jinga Sana Wewe
Sikiliza nikwambie ww we ata huujui Uislamu hlf unasema tunamchafua Allah

uyo Allah unamjua ww na unamuamini?
 
Hujajibu swali langu zaidi ya kuongelea porojo zako

Nikuulize ivi nyinyi mkiwa mnawavisha maiti zenu masuti na maguo ya gharama na majeneza ya gharama ivi kweli untka kusema nani anpta hasara hpa mna ivi vyote vinaenda kuozea uko kaburini hebu nijibu kwanza we KAFIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…