Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Miye mwenyewe nataka niiprint kabisa niiweke ndani, maana ikitokea hushangai alafu wanaojua wanazidi kuisha tunabaki vijana maisha sijui yatakuwaje?Hii itabidi niikopi, maana haya majukumu hayakwepeki.