Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Hii nzuri inatakiwa ujue kuosha maiti ili wapendwa wetu tuweze kuwaosha wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Will you please elaborateHuku si kuosha ni ushirikina dhahiri.
Wala Uislamu hauagizi huu urozi.
Kama ni hivo mkuu inabid na ww ujiandaeHayo Mavi wanayokamua ni ya muhimu sana maana Kazi mojawapo huwa yanatumika kumuita Jini makata
Kukamua mavi ya maiti ni ushirikina.Will you please elaborate
Ok...Kukamua mavi ya maiti ni ushirikina.
Maiti ni mwili wa binadamu uliokufa na kuoza.
Maiti yote ni Uchafu, kuanzia damu, mkojo, mavi, mwili nk.
Yanachaguliwa mavi Tu
Unayakamua mavi ya maiti unayafukia chumbani au kuifadhi kwenye chombo, mwili unauzika kaburini
Wewe kama binadamu uliyestaarabika.
Hili tendo Mantiki (logic) yake ninini ?
Kama sio Ushirikina.
Stori za utotoni... Za miaka gani?Daah kumbe zile stori za utotoni kua kuna jamii fulani kwenye swala la uoshaji maiti wanaibinya hadi itoe dust zote mwilini kumbe ilikua kweli
Umejichanganya sanaUnahangaika kuosha kitu ambaco hapo hapo unadumbukiza kwenye uchafu wa udongo kesho yake unakuta funza wameanza kazi yake , waarabu waliwapata kweli waafrika na ili kukubali maigizo hayo watakuaminisha kaburini kuna maisha na kuna adhabu hutolewa huko na mtu aliyepachikwa jina la taifa teule eti IZRAEL MTOA ROHO kwanini asiwe saudi arabia mtoa roho mnamsingiziea taifa ambalo hata hawafuati imani yenu?
Unabidi ufahamu pia huyo aliepachikwa jina existed even before the formation of world's states..Unahangaika kuosha kitu ambaco hapo hapo unadumbukiza kwenye uchafu wa udongo kesho yake unakuta funza wameanza kazi yake , waarabu waliwapata kweli waafrika na ili kukubali maigizo hayo watakuaminisha kaburini kuna maisha na kuna adhabu hutolewa huko na mtu aliyepachikwa jina la taifa teule eti IZRAEL MTOA ROHO kwanini asiwe saudi arabia mtoa roho mnamsingiziea taifa ambalo hata hawafuati imani yenu?
Mkuu Eddy, Hapa sijaelewa. Yesu alimaanisha nini kusema hivyo?.Luka 9:60
Yesu akamwambia, “Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”
B
Wasio muamini mungu ndio hawapendagi kusikia kitu kinaitwa kifoHaya mathreads ya kijinga sana, kuna dini kila kukicha wanaongelea maiti mara kufa mara kuzikana.
Maisha ni mafupi, furahia kipindi ambacho upo hai.
Kila mtu atakufa lakini isiwe kigezo cha kukumbushana kila siku.
Uzi wa kijinga
HaiyeDa! ngachoka choki!
😢🏃♂️
Uislamu umeamrisha wapi kukamua maiti mavi ?Ila wanaadamu subhaana laah!maada inahusu waislam...wee isokuhusu kwa ukaashifu wakati hakuna ulipoongelewa vibaya!!
Tujifunze kuheshimiana baasi na kuheshinu imani za wengine!sawa wanakamuliwa kinyesi ndivyo maamrisho yao yalivyoagiza jamani..we waumia wapi?
"Hamtaabudu nnachokiabidu" na "wala sitaabudu mnachokiabudu"," ninyi MNA dini yenu na mimi nna dini yangu"
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Wala UsificheHaya mathreads ya kijinga sana, kuna dini kila kukicha wanaongelea maiti mara kufa mara kuzikana.
Maisha ni mafupi, furahia kipindi ambacho upo hai.
Kila mtu atakufa lakini isiwe kigezo cha kukumbushana kila siku.
Uzi wa kijinga
Kwani Kukamua Mavi maiti ni mawazo ya Nani ?Ok...
Hayo ni mawazo yako
Na ni vizuri pia yaheshimiwe