Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
4K video downloaderHabari wana jamii forums,
Nilikuwa naomba msaada wa program ambayo naweza kuitumia kudownload videos kwenye Youtube kwa kutumia PC.Ukiachana na Youtube downloader na IDM, program gani zingine ninaomba kujulishwa.
Ninasubiri msaada wenu.
Asante.
Mkuu hebu tuelekeze vizuri hii kitu. Mimi downloader zote nilizokuwa nazo zimegoma.....wananitaka ni upgrade.fata hatua hizi,nenda kwenye video husika,bofya kitufe cha "share" halafu "copy" then nenda moja kwa moja kweny google chrome search kitu inaitwa "savefrom.net" ikifunguka paste copy yako ya link from youtube mengine yatajieleza yenyeweView attachment 1357660
naona siku hizi wameblock hii site,link za youtube zinagoma kupakuliwa.Mkuu hebu tuelekeze vizuri hii kitu. Mimi downloader zote nilizokuwa nazo zimegoma.....wananitaka ni upgrade.
Snaptubehabar wakuu kwa yeyote anayefaham app nzur kwa ajili ya ku download video naomba anitajie jaman maana nimejaribu videoder lakin imekataa. aksanten nawasilisha