Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Videoder wana matatizo sana na scandal zao.habar wakuu kwa yeyote anayefaham app nzur kwa ajili ya ku download video naomba anitajie jaman maana nimejaribu videoder lakin imekataa. aksanten nawasilisha
Mimi natumiaga videoder na bots za telegram..! Nashangaa Videoder kwako unadai inagoma!habar wakuu kwa yeyote anayefaham app nzur kwa ajili ya ku download video naomba anitajie jaman maana nimejaribu videoder lakin imekataa. aksanten nawasilisha
Signin pitia account yako ya YouTube kwenye videoderhabar wakuu kwa yeyote anayefaham app nzur kwa ajili ya ku download video naomba anitajie jaman maana nimejaribu videoder lakin imekataa. aksanten nawasilisha
Download SaveFrom.net ...Habar wakuu kwa yeyote anayefaham App nzuri kwa ajili ya ku download video naomba anitajie jaman maana nimejaribu videoder lakin imekataa.
Asanteni nawasilisha
Acha ukorofiJaribu Snaptube mkuu
Kwa nini?Acha ukorofi
VidmateWakuu mwenye kujua Application nzuri ya kudanlodia video za youtube anisaidie tafadhari.
Nlikuwa natumia vedorder Lakini naona inagoma tena
Duh🤦🏾♂️😝🤣Clipconverter