Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Videoder wana matatizo sana na scandal zao.habar wakuu kwa yeyote anayefaham app nzur kwa ajili ya ku download video naomba anitajie jaman maana nimejaribu videoder lakin imekataa. aksanten nawasilisha
Kuna alternative open source ipo simple bila matangazo