Uraibu wa maGame nao sio mzuri sana chief...kuwa makini,Huyo nakaa kimya tu maa hawa viumbe jau sana
Haiwezekani mkuuUraibu wa maGame nao sio mzuri sana chief...kuwa makini,
Wenzio watakusaidia kulea mke ooh! Unless umfundshe na yy kucheza muweke 2Player [emoji1][emoji1]
Kwanini.?Haiwezekani mkuu
Kungongewa siwezi kucheza nae pia jau hapendi mpiraKwanini.?
Hahahaha sawa, lkn ishu hapo sio kupenda mpira....ishu ni kumfanya apende kucheza video games,Kungongewa siwezi kucheza nae pia jau hapendi mpira
Hadi meli chakavu[emoji3] [emoji3] [emoji3]hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
Mkuu mm sipendi geme nyingne tofauti na mpira ata game zingne cjawahi zi playHahahaha sawa, lkn ishu hapo sio kupenda mpira....ishu ni kumfanya apende kucheza video games,
Unajua FIFA ni gumu na mtu kama mpira hapendi kupenda kulicheza hilo itamuia vigumu zaid,
Jaribu kuanza nae hata games za RACING au FIGHTING, mfundishe alafu uwe unampa mpenyo wa kukushinda.....trust me atapenda, *raha ya video game ni kushinda*
Hata mm sio mpenzi wa mpira kiasi hicho wala yeye ila game napenda sana so tunacheza sana,
Kuna ladha flan hiv ujue ukiwa unacheza nae mama watt, hahahaha [emoji23][emoji28]
Mnaweza wekeana challenge....ukimfunga atafanya kitu flani....all in all its all about enjoying oneselves nd having fun.
Jaribu chief, kama uliweza kumtongoza akakukubalia huwezi kushindwa kumfanya apende video game.[emoji41]
Duuuh.!! Si ajabu hapo atakua anaomba hyo Console/Pc iungue....[emoji23][emoji28][emoji23]Mkuu mm sipendi geme nyingne tofauti na mpira ata game zingne cjawahi zi play
Labda asubiri nimalizie master league yangu na sjui itaisha Lin.
Console haiungui ng'oo acha nikomae kivyangu mm na washkaji tu kukibinyaDuuuh.!! Si ajabu hapo atakua anaomba hyo Console/Pc iungue....[emoji23][emoji28][emoji23]
Ngoja mm niendelee kumfundisha huyu wa kwangu kucheza game na yeye.
[emoji1] kama stoo vile.hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
Sema huna hela USISEME HATUNA helaNi wakati huu wa magufuli au ule wkt kikwete maana sasa ivi hatuna hela ya kupamba chumba to that extent mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwichikwichi matters [emoji3]Men only need a fresh smelling woman in bed the rest we dont care.
Kwichikwichi matters [emoji3]Men only need a fresh smelling woman in bed the rest we dont care.
Ha ha ha ha ha hii ni hatari sana aiseeKwa usawa huu ukiwa na hivyo vitu jiandae kufwatwa na TRA na kubambikiziwa kesi umekwepa kodi...
Mtoto mzuri upo[emoji8] [emoji41]Console haiungui ng'oo acha nikomae kivyangu mm na washkaji tu kukibinya
Mwanangu mbona unazingua?Mtoto mzuri upo[emoji8] [emoji41]