Jinsi ya kupata mchele mzuri kuanzia kununua mpaka mapishi

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,576
Reaction score
20,183
nimesumbuka kwa miaka mingi sana kupata mchele mzuri
mchele wangu mimi nanunulia kwenye mastore ya mchele Tandika

so nilikua nikifika pale naangalia wenye bei kubwa ndo nanunua..ndo nasema ni mzuri ila kumbe mchele mzuri wanauweka ndani.
ukifika pale store...mwambie nataka Super...usiangalie bei nje,mchele huo unawekwaga ndani hauwekwagi nje kabisa
utakuta imepishana kidogo sana na mchele wa bei ghali hapo nje labda mia au miambili
hakikisha unaenda store...wale madalali njiani wakikudaka waambie nishalipia nafata tu mzigo
utapata mchele safi na mzuri sana....

mchele wa super mara nyingi ni mlaini sana
ukijaza mimaji unatoa boko
mara nyingi mimi napikia tui sabb familia yangu ndogo siiyaji maji
so natumia tui la pili kuanzia ,,,,nikishaweka mchele baada ya tui kuchemka
nasubiri ukauke...then nachek kiini...mara nyingi kinakuepo maana siweki jingi sana tui la pili wala kidogo sana
so pale sasa naweka tui la kwanza kidogo(hapa ni makadirio sina vipimo)
...ufunike na usigeuze geuze kama ugali mchele wa super ni mlaini sana

nimeruka some details....ila ukitumia nazi hakikisha isiwe pia nyingi kwenye mboga ,,familia ya watu watatu nazi moja inatosha kuigawa kwenye mboga na kwenye ubwabwa
ukiziddisha nazi utaharisha
....ukitumia maji na mafuta pia njia ni zile zile usijaze maji
kumbuka ubwabwa unaivishwa na mvuke na sio kande hilo kila saa kuongeza maji
 
Kweli dunia imebadilika. Yaan mmasai leo unafundisha watu kuhusu mchele hadi na kuupika kabisa. Wewe baki na nyama na maziwa mambo ya boko cjui tui waachie wataalam madam sio kwa ubaya. Hata kama ulichokisema hapo ni ukweli mimi kukuamini ni 0.02%. Umeacha mambo ya kushona shanga, maziwa ya vibuyu mwitu, nyama mix damu unaleta mada za nazi mara mchele super, acha nimalizie hii nyagi yangu nakuja
 
🤣🤣🤣🤣
 
nimesumbuka kwa miaka mingi sana kupata mchele mzuri
mchele wangu mimi nanunulia kwenye mastore ya mchele Tandika

so nilikua nikifika pale naangalia wenye bei kubwa ndo nanunua..ndo nasema ni mzuri ila kumbe mchele mzuri wanauweka ndani.
ukifika pale store...mwambie nataka Super...usiangalie bei nje,mchele huo unawekwaga ndani hauwekwagi nje kabisa
utakuta imepishana kidogo sana na mchele wa bei ghali hapo nje labda mia au miambili
hakikisha unaenda store...wale madalali njiani wakikudaka waambie nishalipia nafata tu mzigo
utapata mchele safi na mzuri sana....

mchele wa super mara nyingi ni mlaini sana
ukijaza mimaji unatoa boko
mara nyingi mimi napikia tui sabb familia yangu ndogo siiyaji maji
so natumia tui la pili kuanzia ,,,,nikishaweka mchele baada ya tui kuchemka
nasubiri ukauke...then nachek kiini...mara nyingi kinakuepo maana siweki jingi sana tui la pili wala kidogo sana
so pale sasa naweka tui la kwanza kidogo(hapa ni makadirio sina vipimo)
...ufunike na usigeuze geuze kama ugali mchele wa super ni mlaini sana

nimeruka some details....ila ukitumia nazi hakikisha isiwe pia nyingi kwenye mboga ,,familia ya watu watatu nazi moja inatosha kuigawa kwenye mboga na kwenye ubwabwa
ukiziddisha nazi utaharisha
....ukitumia maji na mafuta pia njia ni zile zile usijaze maji
kumbuka ubwabwa unaivishwa na mvuke na sio kande hilo kila saa kuongeza maji
Ahsante
 
tujadili tu mchele
mambo ya kufika kileleni sina utaalamu nayo sana
Naomba ubwabwa basi, waonekana wayajua mapishi ya ubwabwa, alafu nasikia mdada mzuri anakuwa akiwa anajua kupika ubwabwa anakuwa mtamu kweli pia kama pishi lake
 
Kuna mchele nliagizaga tunduma ukiuona ni msafi sana umenyooka kwenye kupika ulikua nivmgumu sana kuiva na unatoka kama kande ukiingia tumbon kama kama umekula cement tumbo unaskia zito
wanaupakaga mafuta
unauona mzuri umenyooka kumbe mbaya

nenda kwenye mastore ya mchele
nunua kidogo kidogo
unaenda ku utest mpaka utakapopata sehem wenye mchele mzuri ndo linakua chimbo lako
 
Watu wa daslamu mnapenda ubwabwa,wali,uji wa mchele,vitumbua,chapati,maandaz,kachori,chipsi yai vifarana vya kuku,mayai yakuku mjane, kinywaji aina ya eneji na kumuona ottoman
 
Wamasai wengi mnakoelekea siku hizi mtakuja kuzisahau kabisa mila na desturi zenu za miaka mingi iliyopita.
Mmasai kabisa unajua kuna mchele super! Unaweka mpaka nazi kwenye wali utafikiri ni mwanamke wa Kitanga!

Mwisho wa siku utashangaa unatuletea na pishi la samaki aina ya kambale! Badala ya lile la nyama ya kuchoma!
 
Back
Top Bottom