Jinsi ya kupata mchele mzuri kuanzia kununua mpaka mapishi

Jinsi ya kupata mchele mzuri kuanzia kununua mpaka mapishi

Kweli dunia imebadilika. Yaan mmasai leo unafundisha watu kuhusu mchele hadi na kuupika kabisa. Wewe baki na nyama na maziwa mambo ya boko cjui tui waachie wataalam madam sio kwa ubaya. Hata kama ulichokisema hapo ni ukweli mimi kukuamini ni 0.02%. Umeacha mambo ya kushona shanga, maziwa ya vibuyu mwitu, nyama mix damu unaleta mada za nazi mara mchele super, acha nimalizie hii nyagi yangu nakuja
Hawa watu muda si mrefu utambulisho wao utapotea. Rural-urban migration inawabadilisha sana kimaisha. Na kimsingi ni jambo zuri kwao.

Siku hizi ni kawaida kuwaona wapo uwanjani wanaangalia mpira, kuna siku niliwaona Wamasai kadhaa maeneo ya Morogoro mjini eti wanatoka kufanya mazoezi ya mpira wa miguu! Sijui walikuwa wana mashindano gani!
 
Kuna mwaka flani huko mwanza mlinzi aliuawa ikasemekana ni wamasai wamefanya tukio,, wewewe nakwambia cku hiyo vikoi vilitupwa masai wakanunua suruali lafudhi wakabadilisha hamna cha yero yaan kiswahili kilichonyooka kweli. Mimi hata huku asubuh tunafanya nao jogging na vikoi vyao maisha yanasonga. Tate Mkuu ndio wamekuja mjini lakin hili la wali masai ni kioja ni sawa na mmeru aende bukoba kufundisha mhaya kuhusu ndizi au mchaga aende ujaluoni na vituko za samaki
 
Back
Top Bottom