masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
🤣🤣🤣🤣Kweli dunia imebadilika. Yaan mmasai leo unafundisha watu kuhusu mchele hadi na kuupika kabisa. Wewe baki na nyama na maziwa mambo ya boko cjui tui waachie wataalam madam sio kwa ubaya. Hata kama ulichokisema hapo ni ukweli mimi kukuamini ni 0.02%. Umeacha mambo ya kushona shanga, maziwa ya vibuyu mwitu, nyama mix damu unaleta mada za nazi mara mchele super, acha nimalizie hii nyagi yangu nakuja
na vitumbuWatu wa dar wanapenda ubwabwa ndio maana mpo lege lege sanaaa
Poleni sana wa daleshalam, hata kutianaaa sidhanii kama mnawezaa walahiii na kufikishana kilelenina vitumbu
Ahsantenimesumbuka kwa miaka mingi sana kupata mchele mzuri
mchele wangu mimi nanunulia kwenye mastore ya mchele Tandika
so nilikua nikifika pale naangalia wenye bei kubwa ndo nanunua..ndo nasema ni mzuri ila kumbe mchele mzuri wanauweka ndani.
ukifika pale store...mwambie nataka Super...usiangalie bei nje,mchele huo unawekwaga ndani hauwekwagi nje kabisa
utakuta imepishana kidogo sana na mchele wa bei ghali hapo nje labda mia au miambili
hakikisha unaenda store...wale madalali njiani wakikudaka waambie nishalipia nafata tu mzigo
utapata mchele safi na mzuri sana....
mchele wa super mara nyingi ni mlaini sana
ukijaza mimaji unatoa boko
mara nyingi mimi napikia tui sabb familia yangu ndogo siiyaji maji
so natumia tui la pili kuanzia ,,,,nikishaweka mchele baada ya tui kuchemka
nasubiri ukauke...then nachek kiini...mara nyingi kinakuepo maana siweki jingi sana tui la pili wala kidogo sana
so pale sasa naweka tui la kwanza kidogo(hapa ni makadirio sina vipimo)
...ufunike na usigeuze geuze kama ugali mchele wa super ni mlaini sana
nimeruka some details....ila ukitumia nazi hakikisha isiwe pia nyingi kwenye mboga ,,familia ya watu watatu nazi moja inatosha kuigawa kwenye mboga na kwenye ubwabwa
ukiziddisha nazi utaharisha
....ukitumia maji na mafuta pia njia ni zile zile usijaze maji
kumbuka ubwabwa unaivishwa na mvuke na sio kande hilo kila saa kuongeza maji
mchele anzia 3500Mchele wa sasa hivi kila nikipika natoa Boko ,ukiutazama kwa nje ni mzuri wanauza Tsh 2800 ila ukipika ni BOKO tu.
kwa hiyo dar nzima amna anaefika kileleni??Poleni sana wa daleshalam, hata kutianaaa sidhanii kama mnawezaa walahiii na kufikishana kileleni
mikoani tunasikia wa dalishalama na zanziba mpole legelege sana, ujue hata kufika kileleni hakuna formula wengine hufika kwa kupigwa deki au fingerkwa hiyo dar nzima amna anaefika kileleni??
Aiseekwa hiyo dar nzima amna anaefika kileleni??
tujadili tu mchelemikoani tunasikia wa dalishalama na zanziba mpole legelege sana, ujue hata kufika kileleni hakuna formula wengine hufika kwa kupigwa deki au finger
Naomba ubwabwa basi, waonekana wayajua mapishi ya ubwabwa, alafu nasikia mdada mzuri anakuwa akiwa anajua kupika ubwabwa anakuwa mtamu kweli pia kama pishi laketujadili tu mchele
mambo ya kufika kileleni sina utaalamu nayo sana
wanaupakaga mafutaKuna mchele nliagizaga tunduma ukiuona ni msafi sana umenyooka kwenye kupika ulikua nivmgumu sana kuiva na unatoka kama kande ukiingia tumbon kama kama umekula cement tumbo unaskia zito
eeeeNaomba ubwabwa basi, waonekana wayajua mapishi ya ubwabwa, alafu nasikia mdada mzuri anakuwa akiwa anajua kupika ubwabwa anakuwa mtamu kweli pia kama pishi lake
wa asubuhi yooote hii ? na mie nipo shambaaa karibu usukumani kwanzaeeee
wewe una upwiru