Jinsi ya kupika biriani ya kawaida

Ok,nimeelewa ni rangi zenye taste.

Wait nikatafute rangi,

Hazina lugha nyingine?
1.binzari nyembamba
2.Abdala sinni

Kutopata hizi naona sitokamilisha biryan,nitapika vitu za ajabu.
Rangi ni colour food wanaita wengine huweka kwenye barafu(ice cream)
Mchele ni basmati
Kabla hujaweka km mtoa mada alivoeleza hakikisha unakaanga vitunguu maji pembeni Hadi viw brown Kisha viweke pembeni
Viungo ni vingi kama huelew
Nunua birian masala Inakuwa na kilakitu tayari
Mpaji Mungu upike na wewe
Intelligent businessman maelekezo hayo ongezea na ya mtoa mada
 
Je kukodi uje upike kwetu, Bei gani??😂🤓
 
Ahsante lakini nimeshindwa kabisa rafiki.
 
ni chakula ambacho huwa sikipendi kabisa, nilishajaribu kula mara kadhaa nikashindwa. kwanza huwa naona kama kina viashiria ya uzinzi ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…