Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Usiogope ntakulinda SuhendraWee acha tuu😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiogope ntakulinda SuhendraWee acha tuu😂
😀😀😀Hatar sanaKila kitu kitakuepo na jikoni utaingia... ukimaliza uzuge kuombea msosi na wakati ukiwa mwenyewe huombeagi
😂😂😂Afadhali mwanetu, tusjije tengeneza bomu maghetoni🤓😆
Una weka mafuta, moto una tokea ndani ya flampeni au sufuria 😂😂😂😂😂
Rangi ni colour food wanaita wengine huweka kwenye barafu(ice cream)Ok,nimeelewa ni rangi zenye taste.
Wait nikatafute rangi,
Hazina lugha nyingine?
1.binzari nyembamba
2.Abdala sinni
Kutopata hizi naona sitokamilisha biryan,nitapika vitu za ajabu.
Je kukodi uje upike kwetu, Bei gani??😂🤓Rangi ni colour food wanaita wengine huweka kwenye barafu(ice cream)
Mchele ni basmati
Kabla hujaweka km mtoa mada alivoeleza hakikisha unakaanga vitunguu maji pembeni Hadi viw brown Kisha viweke pembeni
Viungo ni vingi kama huelew
Nunua birian masala Inakuwa na kilakitu tayari
Mpaji Mungu upike na wewe
Intelligent businessman maelekezo hayo ongezea na ya mtoa mada
😂😂😂😂Bei maelewanoJe kukodi uje upike kwetu, Bei gani??😂🤓
Ahsante lakini nimeshindwa kabisa rafiki.Rangi ni colour food wanaita wengine huweka kwenye barafu(ice cream)
Mchele ni basmati
Kabla hujaweka km mtoa mada alivoeleza hakikisha unakaanga vitunguu maji pembeni Hadi viw brown Kisha viweke pembeni
Viungo ni vingi kama huelew
Nunua birian masala Inakuwa na kilakitu tayari
Mpaji Mungu upike na wewe
Intelligent businessman maelekezo hayo ongezea na ya mtoa mada
ni chakula ambacho huwa sikipendi kabisa, nilishajaribu kula mara kadhaa nikashindwa. kwanza huwa naona kama kina viashiria ya uzinzi ndani yake.Habari, natumaini nyote mko poa
Leo tutajifunza simple biriani waweza pika mahala popote.
Moja kwa moja niingie jikoni
MAANDALIZI.
kitunguu thoumu
Tangawizi
pilipili manga ya unga
binzari nyembamba
Mdalasini
chumvi
Nyama mbichi
Maziwa
Tomato past
Karoti
Nyanya ya kawaida
wazichanganya kwenye sufuria moja then watia jikoni
Kisha wapika wali ambao watia rangi mbili,
Viazi watia rangi,chumvi kisha wakaanga
Kitunguu maji wakaanga halafu wachanganya kwenye mchuzi wako.
Mpaka hapo biriani liko tayari kuliwa.
Nine cheka haki🤓😂Sio birihani ni  mseto huo 😅
Swaga za kizamani,🤓, haiombwi hivyo siku hizi🤔.Ahsante lakini nimeshindwa kabisa rafiki.
Huenda mpishi wao huwa havai nguo🤓Jamani kwanini waona kiashiria hivyo🤔
Kaka yake shetani ana matatizo 😅Nine cheka haki🤓😂