Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Yummy yummy.....
 
Kuchuruzisha wenzio madenda tu! haya ngoja nim text wifi yako afanye mlo wa usiku chapati kwa rost ya maini leo!
 
Hata mafuta tu ya kupikia yanatosha. Ila kama utakua una blue band sio mbaya kuweka hasa wakati wa kuukanda unga wako

Blueband labda kukandia ila kwa kukaangia chapati zawa nyeusii kwa vile yaungua haraka
 
Tumia samli hii kwa kuongezea unaweza kukandia yai ila usitie ute mweupe weka kiini kisha kipige na maji ndio ukandie jaribu na hiyo samli chapati huwa laini sana
 
Za kusukuma zina utamu wake, tofauti na za kumimina........
sema tu kale kamsemo ka sizitaki mbichi hizi kanasaidiaga.....
ila mwenzenu hapo nkisukuma hazitoki na shape nzuri ya duara, mara inakuja rectangle mara semi-circle, mara ziwe na masikio, kiukweli zinakuwaga na shape mbayaa hadi nalichukia hilo zoezi
 
ila mwenzenu hapo nkisukuma hazitoki na shape nzuri ya duara, mara inakuja rectangle mara semi-circle, mara ziwe na masikio, kiukweli zinakuwaga na shape mbayaa hadi nalichukia hilo zoezi

Lakini laini na tamu mdomoni? Manake kama ndivyo, wageni tunaweza kujifanya hatujaona shape zake...(joke).
 
Lakini laini na tamu mdomoni? Manake kama ndivyo, wageni tunaweza kujifanya hatujaona shape zake...(joke).

kuhusu ulaini na utamu hapo hakuna shaka ila hivyo vi-shape ndo vinaniachaga hoi
 
ila mwenzenu hapo nkisukuma hazitoki na shape nzuri ya duara, mara inakuja rectangle mara semi-circle, mara ziwe na masikio, kiukweli zinakuwaga na shape mbayaa hadi nalichukia hilo zoezi

Jaribu hivo hivo hadi utaweza my dear
 
Huu uzi nimechekaaa kwa kweli kupika chapati ni shughuli kwa wengi wetu
 
Hahahaha hata na wewe pia?

Mimi nishajua kusukuma zinakua round hazina masikio tatizo zinakua ngumu ngumu ila nimenukuu maelezo yako,tatizo mi nilidekezwa sana nilikua siingii jikoni wali nimejua kuupika nikiwa form one lo,
watanikoma mtaa wa pilii
 
Waweza Kutumiatu Mafuta Yamaji Bila Siag Halafu Moto Usiwe Mdogo Sana Au Mkubwasana Nazikawalaini Nakuchambuka Sana Pia Uweke Sukari Kidogo Samahani Kwakuingilia Mapishi
 
Heloo somo
 
Waweza Kutumiatu Mafuta Yamaji Bila Siag Halafu Moto Usiwe Mdogo Sana Au Mkubwasana Nazikawalaini Nakuchambuka Sana Pia Uweke Sukari Kidogo Samahani Kwakuingilia Mapishi

Usijali hujaingilia kitu hapa twabadilishana ujuzi wala hamna tatizo
 
Asante Fakhrina..niulize swali hivi chapati ipi ni tamu na laini zaidi ..ya kukanda na maji baridi au ya kukanda maji moto..nasubiri maelekezo..nakuaminia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…