Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Tafadhali naomba kujua samli,, kiingereza chake ama naipataje?
Ushamba jameni
 
umenikumbusha samli, natumia ile ya tanga fresh mjini hapa dar imekuwa adimu kweli....
 
Matango mwitu ayo dada
 
Thanks farkhina@
Kesho nafanya jaribio la kwanza baada ya kupata hii recipe.

Mi mtu alikuwa akiniambia anataka chapati za kusukuma nakuwa mkali pasipo sababu maana ni majanga au nasingizia tu chochote ilimradi nisipike
 
Jaribu nakutakia Kheir ila zikitoka mbaya usivunjike moyo mambo ya kupika hayataki papara kidogo kidogo utaweza
 
Hahahahahaha lol! Umenichekesha aisee si ungekuwa mkweli tu na kusema siri yako badala ya kuwa mkali? Kila la heri katika majaribio yako ila usikate tamaa kwa matokeo ya mara ya kwanza.

Thanks farkhina@
Kesho nafanya jaribio la kwanza baada ya kupata hii recipe.

Mi mtu alikuwa akiniambia anataka chapati za kusukuma nakuwa mkali pasipo sababu maana ni majanga au nasingizia tu chochote ilimradi nisipike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…