Javis Elias Balilemwa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 489
- 67
Tafuta humuhumu ipo thread ya chapati laini
Poa Thanks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta humuhumu ipo thread ya chapati laini
Kaianzisha farkhina if m nt wrong
Tafadhali naomba kujua samli,, kiingereza chake ama naipataje?
Ushamba jameni
Samli iliyobaki inaenda wapi
Jaribu shoga angu
Mahitaji
Unga kg 1 na robo
Chumvi kiasi
Samli vijiko 6 vya kulia......vijaze
Mafuta vijiko 5....
Maji ya baridi (yaliowekwa kwa friji).....
Namna ya kutaarisha.....
Weka unga katika bakuli mimina na chumvi changanya vizur
Pasha moto samli iache ipoe kidogo tu then mimina nusu ya hiyo samli katika unga.... nusu iliobaki weka
Changanya vizuri.....
Weka maji hadi utengeneze donge (usiwe maji mengi sana)....
Kanda hadi iwe laini (hii muhimu kwa ajili ya soft chapati).....
Kata maduara ukuubwa upendano then weka kwa nusu saa ilainike....
Sukuma chapati na weka mafuta 1/2 tablespoon alafu kunja na weka pembeni....
Wacha zilainike.....
Sukuma tena utengeneze duara
Kaanga chapati.....tumia 1 tablespoon kwa kila chapati
Tayar kwa kuliwa
Matango mwitu ayo dada
Mami mi nilikua nakandiaga maji ya moto halafu zinakua laini kwa mda halafu zinakua ndani ka hazijaiva sasa nashukuru leo kwa somo murua
Yeah na zikilala zinakua ngumu sana
Nimejifunza kitu kizuri nitaanza kufuatilia hili jukwaa ili nijue zaidi mapishi
Thanks farkhina@
Kesho nafanya jaribio la kwanza baada ya kupata hii recipe.
Mi mtu alikuwa akiniambia anataka chapati za kusukuma nakuwa mkali pasipo sababu maana ni majanga au nasingizia tu chochote ilimradi nisipike
Thanks farkhina@
Kesho nafanya jaribio la kwanza baada ya kupata hii recipe.
Mi mtu alikuwa akiniambia anataka chapati za kusukuma nakuwa mkali pasipo sababu maana ni majanga au nasingizia tu chochote ilimradi nisipike