Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Basi jana nimerudi kwenye mood ya mapishi, nikajiandaa nikapika chapati.

Mmh, walau nime improve kutoka mifuniko ya masefuria to something very new. Chapati hazikuwa ngumu wala laini, zilikuwa slippery kama ulimi wa Mlugo. Ukitafuta hivi, meno yanakuwa kama yanafanya 'ice skating', ukiweka mchuzi ndio inakuwa poa.

But zombie alinielekeza wapi nilikosea, nilitumia maji moto badala ya baridi. So leo narudia homework.

cc King'asti na snowhite, mwenzenu naumbuka jamani. Ingekuwa si kuogopa haya ma ID tungekuwa tunakutana once in a while kupika tu, tuna rotate kwa nyumba tofauti tofauti, tunakuja na vifaa vya tunavyotaka kupika, na ma hot pot ya take away.

Tukirudi home ni kuchemsha tu watu wanakula.

Jaribu tena unga jaribu kuukanda vizuri na si kuutia maji mengi......

Wakati unasukuma unahisi hasa hii chapati ya ukweli
 
Last edited by a moderator:
Niliweka mengi kwa kweli, mvivu kukanda. Nitumie kama dakika ngapi?

Kukanda unatakiwa uwe na subira mwenzangu wee kanda kanda kama unafanya masihara ivi lol au kama unamkanda bwana lol.....hadi iwe lainiiiii inategemea na unga unaotumia mengine utakanda hadi uanze kulia ila sikufichi ukitumia recipe hii unga kukanda si kazi unalainika vizuri tu
 
Nitaja achika kwa ajili hii. Nikipika chapati, ukiishika upande mmoja imekakamaa tu kama mfuniko wa sufuria.

Hahaaaa umenikumbusha mdogo wangu wa kike kasomaga kilakala O level basi akasomaga na cookery ila akija nyumbani akipika chapati zinakua kama kaukau kwa ugumu hahaaaa hadi mie mwanaume namshinda mpaka namshinda
 
hahaha, pole wenzio tulishatoka kabatini. ukituona firigisini utaona wivu mwenyewe.

-maji yanatakiwa yawe ya uvuguvugu kiasi (lukewarm) ama ya ubaridi wa friji kabisa (according to farkhina na confirmed na Lizzy)
-kabla ya kuanza kutayarisha chekecha unga (to introduce more air, ambayo ndio haswaa inaumua chapati na kulainisha)
-weka mafuta ya moto sana (kidogo tu) ama weka blue band and rub in (lainisha unga kwa kutumia ncha za vidole tu
-baada ya kukanda, sukuma na kupaka mafuta halafu acha kwa muda kama wa dk 15 hivi. then sukuma kwa kuanza kuchoma.

sijui itasaidia? zombie nae, aaagh. ntamtuma paw aje na kikaptula wknd kukufundisha kupika, ila ujue nampima mileage. ole wako
Basi jana nimerudi kwenye mood ya mapishi, nikajiandaa nikapika chapati.

Mmh, walau nime improve kutoka mifuniko ya masefuria to something very new. Chapati hazikuwa ngumu wala laini, zilikuwa slippery kama ulimi wa Mlugo. Ukitafuta hivi, meno yanakuwa kama yanafanya 'ice skating', ukiweka mchuzi ndio inakuwa poa.

But zombie alinielekeza wapi nilikosea, nilitumia maji moto badala ya baridi. So leo narudia homework.

cc King'asti na snowhite, mwenzenu naumbuka jamani. Ingekuwa si kuogopa haya ma ID tungekuwa tunakutana once in a while kupika tu, tuna rotate kwa nyumba tofauti tofauti, tunakuja na vifaa vya tunavyotaka kupika, na ma hot pot ya take away.

Tukirudi home ni kuchemsha tu watu wanakula.
 
Last edited by a moderator:
Nikiweza toka kabatini itakuwa poa sana.

He he he, mpime kabisa paw na tepu mezha, atarudi kapungua sentimeta 3 kwa kukanda unga tu.
Leo narudia tena.

hahaha, pole wenzio tulishatoka kabatini. ukituona firigisini utaona wivu mwenyewe.

-maji yanatakiwa yawe ya uvuguvugu kiasi (lukewarm) ama ya ubaridi wa friji kabisa (according to farkhina na confirmed na Lizzy)
-kabla ya kuanza kutayarisha chekecha unga (to introduce more air, ambayo ndio haswaa inaumua chapati na kulainisha)
-weka mafuta ya moto sana (kidogo tu) ama weka blue band and rub in (lainisha unga kwa kutumia ncha za vidole tu
-baada ya kukanda, sukuma na kupaka mafuta halafu acha kwa muda kama wa dk 15 hivi. then sukuma kwa kuanza kuchoma.

sijui itasaidia? zombie nae, aaagh. ntamtuma paw aje na kikaptula wknd kukufundisha kupika, ila ujue nampima mileage. ole wako
 
Asante Fakhrina...hebu nambie nikiwa na yai na maziwa iakuwaje ktk ulaini wa chapati?? Je huo ubaridi wa maji kwenye friji ni kwa kiasi gani..najuaje kuwa ubaridi huu unatosha.. Allah akutunze
 
Kuweka yai na maziwa ni kuongeza tu ladha wala havisaidii kuwa laini.....

Maji yawe yabaridi kama tu ya kunywa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii Ni kwa ajili ya sisi tunaotoa michapati migumu Kama kaukau..
 
we farkhina nahic umemteka mzee upande wa mapishi.
 
Last edited by a moderator:
thanks ni kwa sababu huwa sili samli ndio maana nikauliza
Blue Band inaweza kuwa mbadala?
Yes rafiki.....
jana nimetumia blue band kukandia chapati, na nikatumia maji ya baridi ya frijini......
yaani chapati zilikuwa laini mno. la maana tu ni katika kukanda, hakikisha unazikanda mda mrefu mpaka donge liwe laini sana, ukishika likakuwa kama limepikwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahah lol!!!! Hata ladha ya chapatti inapotea tena maana kuitafuna tu ni zoezi mpaka mataya yanachoka 🙂🙂
ha haaaaa, natamani nijue kupika hizo chapati kama kaukau ili watu wangu wapoteze hamu ya kula chapati, wataniua kwa kupenda chapati...... wao hata kila siku ukiwapa wanafurahi. kuna kipindi nilifanya hiyo njia ya kukanda chapati nyingiiii nikaziweka kwa friji basi kila siku nachoma za kuwatosha nikajua baaba ya siku 3 watanipiga stop...... wapi....... kazi yao ilikuwa kubadilisha cha kulia tu.... leo na maharage, kesho na supu, keshokutwa na mchuzi...... nilijuuutaaaa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Basi jana nimerudi kwenye mood ya mapishi, nikajiandaa nikapika chapati.

Mmh, walau nime improve kutoka mifuniko ya masefuria to something very new. Chapati hazikuwa ngumu wala laini, zilikuwa slippery kama ulimi wa Mlugo. Ukitafuta hivi, meno yanakuwa kama yanafanya 'ice skating', ukiweka mchuzi ndio inakuwa poa.

But zombie alinielekeza wapi nilikosea, nilitumia maji moto badala ya baridi. So leo narudia homework.

cc King'asti na snowhite, mwenzenu naumbuka jamani. Ingekuwa si kuogopa haya ma ID tungekuwa tunakutana once in a while kupika tu, tuna rotate kwa nyumba tofauti tofauti, tunakuja na vifaa vya tunavyotaka kupika, na ma hot pot ya take away.

Tukirudi home ni kuchemsha tu watu wanakula.
ha haaaaa, sasa unaogopa nini kujibandua kwenye mfuko? toka tu......
waweza kuja kwangu nikufundishe, baada ya hapo nitakusahau kama sijawahi kukuona, trust me
 
Samahani wadau.
Samri ndio nini? inaonekanaje? husaidia nini katika chapati?
 
Ha ha ha ha, FP bana.

Utanisahauje? Ila ninatamani kajikundi hata ka watu 3-5 ka kujipikilisha tu kwa ajili ya familia.

Back
Top Bottom