Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

we shukuru tu kabla haujaztia kikaaongozi uone zinavokakamaa kama ngozi ya goti, mimi nimefuata process zote zaidi ya mara tano lakini wapi, tia yai wapi, nikasema labda nitie kiini tu lakini wapi, next time labda nitajaribu kutia mchuzi wa bamia huenda zikawa laini!

Ama nimecheka....ingawa si ya kucheka asilani. Nafikiri issue iko kwenye ukandaji na si kuongeza vikorombwezo kwenye unga...
 
Narudia practical leo, sijui kitatokea nini.

Umeona eeh...nafikiri mazoezi mengi mwisho ujuzi. Nami nimeanza jumamosi na nimejipanga kufanya kila jumamosi...so help me God (shurti kwa maombi juu)
 
Nlikua sijui kupika izi chapati.Nkipika zinakua kama biskuit na zingine shape kama star au pembe nne.So far naziwezea practise makes perfect kweli, lazima nipike kila wiki mara moja.
 
Asante kwa kunijuza,kabla nilikandia maji ya vuguvugu,nadhani ndo maana zilikuwa kavu kama kaukau. Hakuna mbadala wa samli?
 
i did it, super soft chapati, thanx dear farkhina kwa maujuzi
 
Last edited by a moderator:
Duh shukrani bandugu....Duh sijawahi kusikia hii ndude kwa lugha hii lkn nitafuatilia..Bila shaka hii itaniongezea point nyingine tatu na magoli kama aliyonyukwa Brasil na Jerumani....maana juzi nilijipinda nikaangusha biryani la kufoji....yaani unapika wali unaiva 99% then unakaanga chuzi la kuku zito lenye fat free mtindi, mchuzi mix, vitunguu swaumu na ...maviungo kibao ya pilau kutoka bongo ambayo hayana lebo za tbs...basi harufu ikasambaa mtaani watu wakakusanyika kujua kama kuna show ya misosi....lkn wakakutana na muziki mzito wa zilipendwa, marehemu Kyanga Songa na Kasaloo Kyanga......safari sio kifoo mamaeee subiri nitarudi mama watoto.....nikirudi mama nitakuletea zawadi....ohhh. Anyway, haruf hii nzuri sasa imeniletea balaa maana wanakuja na kunichokonoa chokonoa...
 
farkhina mi Sijambo vp wewe na little Angel hajambo?

Kila nkitaka kuku quote post yako nashindwa Wallah
 
Last edited by a moderator:
Duh shukrani bandugu....Duh sijawahi kusikia hii ndude kwa lugha hii lkn nitafuatilia..Bila shaka hii itaniongezea point nyingine tatu na magoli kama aliyonyukwa Brasil na Jerumani....maana juzi nilijipinda nikaangusha biryani la kufoji....yaani unapika wali unaiva 99% then unakaanga chuzi la kuku zito lenye fat free mtindi, mchuzi mix, vitunguu swaumu na ...maviungo kibao ya pilau kutoka bongo ambayo hayana lebo za tbs...basi harufu ikasambaa mtaani watu wakakusanyika kujua kama kuna show ya misosi....lkn wakakutana na muziki mzito wa zilipendwa, marehemu Kyanga Songa na Kasaloo Kyanga......safari sio kifoo mamaeee subiri nitarudi mama watoto.....nikirudi mama nitakuletea zawadi....ohhh. Anyway, haruf hii nzuri sasa imeniletea balaa maana wanakuja na kunichokonoa chokonoa...

Du nielekeze na mimi mkuu hiyo Link iko wapi namie niisome?
 
Back
Top Bottom