Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we shukuru tu kabla haujaztia kikaaongozi uone zinavokakamaa kama ngozi ya goti, mimi nimefuata process zote zaidi ya mara tano lakini wapi, tia yai wapi, nikasema labda nitie kiini tu lakini wapi, next time labda nitajaribu kutia mchuzi wa bamia huenda zikawa laini!
Narudia practical leo, sijui kitatokea nini.
Asante kwa kunijuza,kabla nilikandia maji ya vuguvugu,nadhani ndo maana zilikuwa kavu kama kaukau. Hakuna mbadala wa samli?
Usijal karibu sana
Jamani hivi samli kwa kimombo ni nini ? Huku kwa Putin yaani majanga tupu, tunakrem lugha za kukwepa makombora 🙂 Natanguliza shukran....
Jamani hivi samli kwa kimombo ni nini ? Huku kwa Putin yaani majanga tupu, tunakrem lugha za kukwepa makombora 🙂 Natanguliza shukran....
Nafkir ni ghee
farkhina mi Sijambo vp wewe na little Angel hajambo?
Kila nkitaka kuku quote post yako nashindwa Wallah
Hajambo nashkuru mungu
Duh shukrani bandugu....Duh sijawahi kusikia hii ndude kwa lugha hii lkn nitafuatilia..Bila shaka hii itaniongezea point nyingine tatu na magoli kama aliyonyukwa Brasil na Jerumani....maana juzi nilijipinda nikaangusha biryani la kufoji....yaani unapika wali unaiva 99% then unakaanga chuzi la kuku zito lenye fat free mtindi, mchuzi mix, vitunguu swaumu na ...maviungo kibao ya pilau kutoka bongo ambayo hayana lebo za tbs...basi harufu ikasambaa mtaani watu wakakusanyika kujua kama kuna show ya misosi....lkn wakakutana na muziki mzito wa zilipendwa, marehemu Kyanga Songa na Kasaloo Kyanga......safari sio kifoo mamaeee subiri nitarudi mama watoto.....nikirudi mama nitakuletea zawadi....ohhh. Anyway, haruf hii nzuri sasa imeniletea balaa maana wanakuja na kunichokonoa chokonoa...
Wat if kama amn samli kitugn kingn ch kutumia
Link ipi tena mama ??Du nielekeze na mimi mkuu hiyo Link iko wapi namie niisome?