Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhani vinakua vishaakaangwa kwenye mafuta tayariViazi vinaiva ndani ya dk 3??
Na mimi nimejiuliza hilo swali...Viazi vinaiva ndani ya dk 3??
kwa kuwa uji ulioweka katika sufuri a ni nyembamba, so dakika mbili zinatosha.Viazi vinaiva ndani ya dk 3??
Thanks...ngoja nijaribu this weekend...kwa kuwa uji ulioweka katika sufuri a ni nyembamba, so dakika mbili zinatosha.
natumaini utapenda mapishiThanks...ngoja nijaribu this weekend...
kwa sababu, uji ni nyembambaViazi vinaiva ndani ya dk 3??
wapi?niulize,nikueleze!cjaelewa ata!
hivyo unavyo kologakologa unakologea wapi?? kwenye bakur uliloliweka viazi na maji ama???wapi?niulize,nikueleze!
ndiyo,korogakoroga ndani ya bakuli tena pamoja na mayai,unga,viazi na vivungo.hivyo unavyo kologakologa unakologea wapi?? kwenye bakur uliloliweka viazi na maji ama???
wapi?niulize,nikueleze!