Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Umekanda unga mgumu!!Nimekosea wapi sasa???
Ndani umeweka mafuta gani kabla ya kusukuma dada! Jitahidi utumie KIMBO my dear, halafu ziache ziumuke baada ya dk 20 mpaka 30.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekanda unga mgumu!!Nimekosea wapi sasa???
Muheza dada!Uko wapi jamani nije
Unga ulikuwa mlaini jamani, mafuta nimetumia ya alizeti hivi ya kimbo yapo miaka hii? Nayatumia kukandia tu au mambo yoteUmekanda unga mgumu!!
Ndani umeweka mafuta gani kabla ya kusukuma dada! Jitahidi utumie KIMBO my dear, halafu ziache ziumuke baada ya dk 20 mpaka 30.
Mafuta yapo ya KIMBO dada,Unga ulikuwa mlaini jamani, mafuta nimetumia ya alizeti hivi ya kimbo yapo miaka hii? Nayatumia kukandia tu au mambo yote
Kwa hiyo nayatumia hapo tu? Nilijua nayatumia kuanzia kukanda hadi kuchomaMafuta yapo ya KIMBO dada,
Unatumia kusukumia baada ya kukata yale matonge, unasukuma unapaka halafu unasokota dada au wewe huwa unafanyaje
Kuchoma unatumia alizeti dada!,Kwa hiyo nayatumia hapo tu? Nilijua nayatumia kuanzia kukanda hadi kuchoma
Kukanda?Kuchoma unatumia alizeti dada!,
Watumia alizeti pia, KIMBO wapaka baada ya kusukuma tonge lako then wasokota.. Kama yako matonge 6 wapaka yotee, then unayaacha yanaumuka dada ndo usukume sasa chapatiKukanda?
Hizo hatua huwa nafanya ila sijui nakwama wapi walahWatumia alizeti pia, KIMBO wapaka baada ya kusukuma tonge lako then wasokota.. Kama yako matonge 6 wapaka yotee, then unayaacha yanaumuka dada ndo usukume sasa chapati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakupelekea ila mpaka mgeni kutoka mbezi atakapoondoka.Duuuh nitamuomba Relief Mirzska anilete
Sasa mimi bora chapati jamani!!
Nikiwazaga kukoroga uji bora kukanda unga!
Maandazi huwa napika mazuri usipime, sema maandazi siyapendiUkipika mandazi si utatupikia matofali wewe ?[emoji1][emoji1][emoji1]
Maandazi huwa napika mazuri usipime, sema maandazi siyapendi
[emoji23][emoji23][emoji23] nadhani atakuja anielekeze kila kitu maana hata hapa sijaelewa kitu.Ntakupelekea ila mpaka mgeni kutoka mbezi atakapoondoka.
Mwambie cute b maana nae anazijua haswa
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Acha basi, nikupigie picha?Najaribu kuimagine chapati zako nacheka tu
Acha basi, nikupigie picha?
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Tuma picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana jamani...Hizo hatua huwa nafanya ila sijui nakwama wapi walah