Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Hujui faida za hiyo mboga wewe
Kama mboga zingekuwa ni Walimu basi kabichi ni mwalimu wa Walimu
Chochote ambacho unakitaka kwenye mboga yoyote basi Ukila kabichi unavipata vyote
Hatuzungumzii nutrient mkuu tunazungumzia utamu wake ikiliwa na ugari,
Kama ni nutrient ata kwenye mwalovera zipo lakini mbona Hainywewi kama juice baada ya mlo.?
 
Aise upo kama mimi ndugu,yaani kabichi na spinachi sijawahi kuzielewa kabisa.Hata home kwangu nilishawaambia kama wakipiga hayo makitu mimi waniandalie Mrenda_Bamia au hata dagaa nitakula.Kabichi hata hamu ya kula siipati
 
Aisee we kama Mimi,, napenda mboga za majani lakini sio kabichi
 
Aise upo kama mimi ndugu,yaani kabichi na spinachi sijawahi kuzielewa kabisa.Hata home kwangu nilishawaambia kama wakipiga hayo makitu mimi waniandalie Mrenda_Bamia au hata dagaa nitakula.Kabichi hata hamu ya kula siipati
Ni bora spinachi kidogo lakino siyo kabichi asee.
 
Na ikatwe ndogondogo
 
Hatuzungumzii nutrient mkuu tunazungumzia utamu wake ikiliwa na ugari,
Kama ni nutrient ata kwenye mwalovera zipo lakini mbona Hainywewi kama juice baada ya mlo.?
Mapishi ni tofauti kabichi ukichanganya na nyanya ukaikaanga vizuri unaweza ukajiuma mkuu Huku ukiichanganya na samaki au nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…