Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
- Thread starter
- #81
Hatuzungumzii nutrient mkuu tunazungumzia utamu wake ikiliwa na ugari,Hujui faida za hiyo mboga wewe
Kama mboga zingekuwa ni Walimu basi kabichi ni mwalimu wa Walimu
Chochote ambacho unakitaka kwenye mboga yoyote basi Ukila kabichi unavipata vyote
Kama ni nutrient ata kwenye mwalovera zipo lakini mbona Hainywewi kama juice baada ya mlo.?