Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Nikiwa mdogo nilikua najisikia vibaya sana wakipika ugali kabichi hadi leo inaniwia vigumu kuupenda ugali kabichi labda uwe umekaangiwa na nyama ya kitimoto. Pia kabich haina nutrients za maana zinazohitajika mwilini na pia sio.nzuri kiafya kwa sababu inapuliziwa dawa maisha yake yote
 
Mi mpaka kesho mkuu.
 
Hahaha kabeji kwa kweli haifai. Ni mara 100 sokoni ninunue mchicha kuliko hii mboga ya matunda(kabeji) maana kwenye mboga ya majani haipo.
 
Watanzania wengi wana uelewa mdogo kuhusu lishe na makundi ya mlo. Wanadhani mboga za majani ni sehemu ya mlo mkuu wa siku! Hahaaaaa. Mlo mkuu mezani wa ama mchana au usiku unahusisha protein na wanga tu. Mbogamboga, matunda, madini kama chumvi na vinginevyo ni ziada tu kwa utendaji bora wa mwili na vinatakiwa viwepo kidogo kwenye kila mlo wa siku. Ukila ugali na mlenda au kabeji pekee, hata ziwe kilo mia hujafanya chochote. Tujifunze elimu ya lishe. Tusome vitabu watanzania. Si kila kitu tusubiri tuelezwe!
 
Unamaanisha kabichi ni mboga ya kimasikini co?
 
Hahahaha kuna kabichi,kisavu na mlenda aisee hizi mboga sizipendi kweli kuna siku nilienda maeneo ya pwani huko karibu na mkuranga usiku wake walipika ugali na kisamvu dah kuwaambia hii mboga sili miyayusho ugenini da nilitafuta mboga nikaja kuangukia kwenye ngwara za kuku aisee [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Vyakula vnge tunakula kuokoa roho tu. Ila kuachana na factor za kiuchumi kusema ukweli kabech n baya aseee, m hata lipikweje sifurahii, sema .inategemea limekukuta kwenye hali gan, m mboga za majan ninazopenda kuliko zote n mnavu na tembele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…