Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Mi napenda kulia wali,,kabechi mpaka uijulie kupika wengi hawajuii kupika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mpaka kesho mkuu.Nikiwa mdogo nilikua najisikia vibaya sana wakipika ugali kabichi hadi leo inaniwia vigumu kuupenda ugali kabichi labda uwe umekaangiwa na nyama ya kitimoto. Pia kabich haina nutrients za maana zinazohitajika mwilini na pia sio.nzuri kiafya kwa sababu inapuliziwa dawa maisha yake yote
Wewe ndiyo muwindaji haramu wa nyumbu wetu eehh..!Mboga ni Kimoro tu .
Nyingine hamka nitu
Watanzania wengi wana uelewa mdogo kuhusu lishe na makundi ya mlo. Wanadhani mboga za majani ni sehemu ya mlo mkuu wa siku! Hahaaaaa. Mlo mkuu mezani wa ama mchana au usiku unahusisha protein na wanga tu. Mbogamboga, matunda, madini kama chumvi na vinginevyo ni ziada tu kwa utendaji bora wa mwili na vinatakiwa viwepo kidogo kwenye kila mlo wa siku. Ukila ugali na mlenda au kabeji pekee, hata ziwe kilo mia hujafanya chochote. Tujifunze elimu ya lishe. Tusome vitabu watanzania. Si kila kitu tusubiri tuelezwe!Hivi ni nani aligundua kwamba kabichi ni Mboga asee,
Mbona tunatesana hivi si ni bora aliyegundua mrenda japo unatereza lakini ni mwake na ugari kitu kinaenda.
Hivi ugali na kabichi kuna ambae anauelewa kweli ?
Tuache tuseme tu ukweli ni bora nile ugali bila mboga kuliko kula ugali na kabichi.
Nimekula huu leo ugali kabich, Kuna ndugu yangu nimetembelea akanipikia ugali kabichiHivi ugali na kabichi kuna ambae anauelewa kweli
Unamaanisha kabichi ni mboga ya kimasikini co?daaah nimekumbuka kuna jamaa yangu alishawahi kunambia hawezi kula ugali na dagaa(misumali ya bati) hata siku moja.
Mungu fundi bhana, bahati mbaya nyumba yao imeungua na maisha yao yamedrop economically sababu ya ujenzi wa nyumba yao.
maisha anayoishi jamaa nayaelewa mimi anachokula naelewa mimi
wewe naweza kusema unamkufuru Mungu kama huyo jamaa yangu, .....kabichi ni kachumbari tu au sio??
ngoja yakukute mkuu hapo ndio utajua kwanini chips hazina ukoko
This Time Tomorrow
Hahahaha kuna kabichi,kisavu na mlenda aisee hizi mboga sizipendi kweli kuna siku nilienda maeneo ya pwani huko karibu na mkuranga usiku wake walipika ugali na kisamvu dah kuwaambia hii mboga sili miyayusho ugenini da nilitafuta mboga nikaja kuangukia kwenye ngwara za kuku aisee [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]daaah nimekumbuka kuna jamaa yangu alishawahi kunambia hawezi kula ugali na dagaa(misumali ya bati) hata siku moja.
Mungu fundi bhana, bahati mbaya nyumba yao imeungua na maisha yao yamedrop economically sababu ya ujenzi wa nyumba yao.
maisha anayoishi jamaa nayaelewa mimi anachokula naelewa mimi
wewe naweza kusema unamkufuru Mungu kama huyo jamaa yangu, .....kabichi ni kachumbari tu au sio??
ngoja yakukute mkuu hapo ndio utajua kwanini chips hazina ukoko
This Time Tomorrow