Jinsi ya kupika maandazi matamu ya maziwa na hiriki

Niagizie please ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mpishi alete....


Hivi kweli unajua kupika maandazi?? Wadada wengi sikuhizi ujuz huu umekuwa adimu
Angekua pale ma flat ya chuo Cha maji tungemuwekea bili ya kula kwa mwezi.

Kuna mama nilikuaga nampa 93k tshilling Kila mwezi.
 
Kunywa pombe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ungemuwamba Kofi kidogo, Mimi ni ngumu sana kucheka yaan nikumbuke jambo Afu nicheke labda kinachekesha sana!
 
Angekua pale ma flat ya chuo Cha maji tungemuwekea bili ya kula kwa mwezi.

Kuna mama nilikuaga nampa 93k tshilling Kila mwezi.
Hahaha sio mama kifusi?? Maana kuna Maza alikuwa anapika msosi mwingi analeta nyuma ya coet huku.

Wazee wa quantity based walikuwa wanafaidi.

Mimi bili niliweka daruso cafe kabla haijakufa.

Naweka bili ya RB navuta kibua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ