Jinsi ya kupika maharage kwa njia rahisi bila kutumia gharama kubwa

Nitajaribu hii..!
 
Kujipikilisha sio tatizo, vyombo ndo ishu. Ukifika kwa mabachelor wengi utakuta kuna ndoo imejaa vyombo vikiwa na uvundo wa ugali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Asante kwa uzi nzuri nimeama home Nina miez 4 inakaribia sijawah kula wala kupika maharange kwa huu uzi nitaende kununua maharange ili nipike.

Naomba unifafanulie namba 2 hii " 2. Washa jiko lako kisha tenga maharage yako,
subiri mpaka yachemke kabisa (boiling point)"

Ni unachesha hayo maharange yakichemka unayamiminia na Maji yake kwenye chumba
 
Hii kitu nimeitumia sana nilifundishwa na mama yangu!
 
Mimi nilikua nachemsha maji naweka kwenye chupa naweka maharage asubuhi nakuta yamelainika ila chupa isiwe inapoza.
 
ninaishi na ndugu zangu tupo karibu 8 na watoto hayo maharage gani yataingia kwenye tharmos na ikatutosha
 
Leo nimejaribu kupika maharage masaa 8 hayajaiva!nikaamua tuu niende nikanunue nyanya nikala ugali na kachumbari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…