Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo aisee, nilikuwa class 3. Muda mrefu sana sikumbuki hata mwaka.Ukiwa na umri gani ?
Eeh, kucha anaziona hapo kwenye AvatarKwa hiyo ataishia kuona kucha tu😅😅😅
Lloyd Munroe mnatak kunikana kwenye taasisi 😂😂😂🤣🤣 kwa nini ujichagulie mweka hazina na kamati haijakaa
HAhahhaha na umeendelea hadi sasa.Mdogo aisee, nilikuwa class 3. Muda mrefu sana sikumbuki hata mwaka.
Maana nilikuwa nakula kucha mpaka zinatoka nyama zile za pembeni🙌😂
Sasa hivi nimeacha. Niliacha 2017 ndio maana unaona hata zimekua kidogoHAhahhaha na umeendelea hadi sasa.
Anafahamu kuchemsha
Hongera kwa kuwa binti mkubwa sasaSasa hivi nimeacha. Niliacha 2017 ndio maana unaona hata zimekua kidogo
Haya, have a nice moment.Hongera kwa kuwa binti mkubwa sasa
Baadae kidogo.👋
[emoji3][emoji3][emoji3]Anafahamu kuchemsha
Chakula kizuri sana 👏👏Natumain wazima na weekend inaenda vizuri
Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki
Mahitaji
Samaki aliekaangwa
Kitunguu maji na kitunguu swaumu
nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya pakti,chumvi
Pilpilili hoho na karot ( kata shape upendayo )
Pilipili manga kama utapendelea
Nazi Kama unapendelea pia sio lazima
Mafuta ya kupikia
Jinsi ya kupika
Bandika sufuriq au pan jikoni weka mafuta ya kupikia kias kidogo
Anza kukaangaa kitunguu maji hadi kilainike kisha weka kitunguu swaumu kaanga kidogo
Weka nyanya zikichemka weka pilipili manga acha nyanya ziive kisha ongeza nyanya ya pakti
weka pilipili hoho pamoja na karot acha zilainike zisiive sana ongezea Nazi kidogo changanya na uache Kwa dakika 2 Kisha muweke samaki kwenye pan Changanya na viungo Kisha mgeuze acha dakika 2 makange yatakua tayari
Unaweza kula na wali ugali ndiz hata chips View attachment 2796485
No puedo pasar unbuen rato si no veo mis hermosos ojos😋Haya, have a nice moment.
Acha kumtetea hajui kupika makange ya samakiAnajua sana huyo
Wanawake wa humu wanajua sana kupika
Looks so delicious😋Makange ya samaki matamu bhana karibu