Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kweli wanaume tumeumbwa mateso ili mradi uteseke tu😊Eeh, kucha anaziona hapo kwenye Avatar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wanaume tumeumbwa mateso ili mradi uteseke tu😊Eeh, kucha anaziona hapo kwenye Avatar
Akii leo na nampikia wife kwa kufuata maelekezo haya.Natumain wazima na weekend inaenda vizuri
Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki
Mahitaji
Samaki aliekaangwa
Kitunguu maji na kitunguu swaumu
nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya pakti,chumvi
Pilpilili hoho na karot ( kata shape upendayo )
Pilipili manga kama utapendelea
Nazi Kama unapendelea pia sio lazima
Mafuta ya kupikia
Jinsi ya kupika
Bandika sufuriq au pan jikoni weka mafuta ya kupikia kias kidogo
Anza kukaangaa kitunguu maji hadi kilainike kisha weka kitunguu swaumu kaanga kidogo
Weka nyanya zikichemka weka pilipili manga acha nyanya ziive kisha ongeza nyanya ya pakti
weka pilipili hoho pamoja na karot acha zilainike zisiive sana ongezea Nazi kidogo changanya na uache Kwa dakika 2 Kisha muweke samaki kwenye pan Changanya na viungo Kisha mgeuze acha dakika 2 makange yatakua tayari
Unaweza kula na wali ugali ndiz hata chips View attachment 2796485
Kwa hiyo mzeiya umeshachukua mrembo 😳She's a dime aiseeeh,ila usielekee PM maana already taken
Bienexactamente mi amor😋🥰
Kawaida tuKweli wanaume tumeumbwa mateso ili mradi uteseke tu😊
Mwanangu Zulu man unaishia kumwonyesha kucha tu unasema kawaida daaah! 😅Kawaida tu
Bienvenido a mi mundo mi amorBien
Uko vizure mamaa masaptasapta kitu cha wali asubuhi na mapemaaaaa kabisa 😋😋😋!Natumain wazima na weekend inaenda vizuri
Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki
Mahitaji
Samaki aliekaangwa
Kitunguu maji na kitunguu swaumu
nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya pakti,chumvi
Pilpilili hoho na karot ( kata shape upendayo )
Pilipili manga kama utapendelea
Nazi Kama unapendelea pia sio lazima
Mafuta ya kupikia
Jinsi ya kupika
Bandika sufuriq au pan jikoni weka mafuta ya kupikia kias kidogo
Anza kukaangaa kitunguu maji hadi kilainike kisha weka kitunguu swaumu kaanga kidogo
Weka nyanya zikichemka weka pilipili manga acha nyanya ziive kisha ongeza nyanya ya pakti
weka pilipili hoho pamoja na karot acha zilainike zisiive sana ongezea Nazi kidogo changanya na uache Kwa dakika 2 Kisha muweke samaki kwenye pan Changanya na viungo Kisha mgeuze acha dakika 2 makange yatakua tayari
Unaweza kula na wali ugali ndiz hata chips View attachment 2796485
Ungejua ulivyonitamanisha mpaka udenda unadoka? Huu ni ukatili... Naweza tumia samaki yeyote?
Alisikika anaomba aone japo macho 🤣Wewe unataka aone nini kingine?
Unaogopa kupigwa eee[emoji23][emoji23][emoji23]Usitake kunigombanisha na mashost zangu
Vibaya hivyo😍no puedo espectaculo el en publica
Utaniua aisee🤣. Siwezi sana
Haya sasa waspanyola tutafsirieni[emoji7]no puedo espectaculo el en publica
Utaniua aisee[emoji1787]. Siwezi sana
Mpenzi mtazamajiKwa hiyo mzeiya umeshachukua mrembo 😳
Anaku invite kwa harusi yake Dec mwaka huu.
Nimeacha bwana🥺😭Kucha zilizotafunwa kwa meno,seriously ndugu?
Ana manyanyaso ya kihisia