Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

Nimehairisha sitaki mume!! Nitajioa mwenyewe
Nitamleta dada umfundishe awe ananipikia 🀣🀣🀣🀣
Khe mbona ghafla sana WiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kupika napika sana tatizo muda yaani nikikaa jikoni nakaa haswaaa sina mbambamba
😍Mimi Bado najifunza kuna vitu vingi sijajaribu kupika hata matumiz ya viungo vingi Bado mwananfunzi
 
Viungo vingi sio utamu wa chakula bestie....ni vile tu unavyojua kuvitumia....ht Mie bado najifunza napenda insta page ya malkia food na food lovers Wana recipe simple na nzuri
 
Mimi ndo nashindaga kwenye page zao πŸ˜€πŸ˜€
Kuna yule fooddiary ni noma
 
Back
Top Bottom