Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

Ndugu yangu kumbe unajua mambo mazuri hivi,mbona hunipikii au ndio yanamsubiri shemeji? 😂
 
We kama mimi, huwa nanunua nyanya sado zinakaa sana sababu nikitumia nyingi basi ni mbili.

Now nakaa na wadada kama watatu hivi haina haja ya mimi kuingia jikoni aisee napata shida sana na aina yao ya mapishi, nyanya shatashata. Anyways najifunza kuenjoy mikono ya wengine.

Nina kama miezi mi4 sijaingia jikoni. 🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️
Kabisa Kuna muda unaenjoy mapishi tu ya wengine...ila ukiona yanakukera unaweza waambia wapunguze nyanya
 
Asante my dear
Huyo angekaa na mm tungegombania jikoni nikiwa na rafikizangu utasikia vipi hakuna bites bites kama hakuna lazima nipike muda huo huo😀😀😀
Zamani nilikuwa kama wewe napenda bites bites yaani oven liwe busy sijui cookies sijui visheti...maandazi...kalmati siku hz mambo ni mengiiiii jiko nakutana nalo jpil kwa jpil
Hapa nmeamka na hamu ya machalari ndyo nafanya mchakato
 
😀😀hongera utakuwa ni mpishi mzuri sana
Zamani nilikuwa kama wewe napenda bites bites yaani oven liwe busy sijui cookies sijui visheti...maandazi...kalmati siku hz mambo ni mengiiiii jiko nakutana nalo jpil kwa jpil
Hapa nmeamka na hamu ya machalari ndyo nafanya mchakato
 
Natumain wazima na weekend inaenda vizuri
Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki
Mahitaji
Samaki aliekaangwa
Kitunguu maji na kitunguu swaumu
nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya pakti,chumvi
Pilpilili hoho na karot ( kata shape upendayo )
Pilipili manga kama utapendelea
Nazi Kama unapendelea pia sio lazima
Mafuta ya kupikia

Jinsi ya kupika
Bandika sufuriq au pan jikoni weka mafuta ya kupikia kias kidogo
Anza kukaangaa kitunguu maji hadi kilainike kisha weka kitunguu swaumu kaanga kidogo
Weka nyanya zikichemka weka pilipili manga acha nyanya ziive kisha ongeza nyanya ya pakti
weka pilipili hoho pamoja na karot acha zilainike zisiive sana ongezea Nazi kidogo changanya na uache Kwa dakika 2 Kisha muweke samaki kwenye pan Changanya na viungo Kisha mgeuze acha dakika 2 makange yatakua tayari
Unaweza kula na wali ugali ndiz hata chips View attachment 2796485
Jana nimekula hii kitu ipo viral aisee kula (tafuna) mpaka mifupa...
 
Back
Top Bottom