Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

Unaweza tumia karanga au siagi yake pia radha inakua nzuri tu sisi mabachela ndio milo yetu hii siku tukiwa home then unakula na dona balaa tupu
Aisee mnafaidi sana😍
 
Chakula kizuri sana 👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…