Mloganzila ukienda hurudi, puto uwekewe la Nini sheikh ?Kwa style hii ndio uniambie nikonde sijui nibalance diet, siwezi kukuelewa. Pishi kama hili siezi kuacha kula hasirani, wanipeleke mloganzila nikawekewe puto tu.
Hajui kuwa una PhD Kama Nchemba.Lloyd Munroe mnatak kunikana kwenye taasisi 😂😂😂
Utaelewa taratibu.Zulu Man simuamini na pia sitamuelewa kama wewe
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Mwambie huyo😂Kijana,una agenda gani na shemeji yako?🤣
Wifi naogopa yutiai na kuunganishwa kwenye gridi ya taifa.Khe mbona ghafla sana Wii😂😂😂
HV kufua nguo na vyupi zao huwa wanazifua kweliHuwez kuwa efficient kama mm mweny kucha fupi, utakataje nyanya na kucha marefu kama sio utahangaika tuu nyanya moja unakata dakika kumi.
Mi mweny napika ghetto, hao makucha marefu wakijaga wanaanza kujishaua "ooh niache nikupikie", sawa mama pika, bac bhana utacheka yupo slow kinoma makucha yanamsumbua hadi nikamwambia ebu kakae huko niache nipike mwenyew.
Oyaaah ukhty hio ni Moto.... Na huo wali acha kabisaa
Ila akiongeza hizo chombeza Inakuwa super deliciousInawezekana kabisa na ikawa tamu kama kawaida hata Nazi kuongezea tu hata bila Nazi ni poa
Mwanamk ajue kupika na kazi ya wakubwa.... Mengn tutasaidiana[emoji3]Nakukubali kwenye hii sekta [emoji4]
Hana ela ya kununua hivo vitu.....Inawezekana haijakupendeza mkuu lengo ni recipe kama nimepika vibaya niwie radhi
Am good chef mlete kwangu sista[emoji3]Nimehairisha sitaki mume!! Nitajioa mwenyewe
Nitamleta dada umfundishe awe ananipikia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hv malkia na food lovers ni mtu mmja maake sauti zao km zinafanana?Viungo vingi sio utamu wa chakula bestie....ni vile tu unavyojua kuvitumia....ht Mie bado najifunza napenda insta page ya malkia food na food lovers Wana recipe simple na nzuri
🤣🤣🤣🤣 naijua hiyoAm good chef mlete kwangu sista[emoji3]
Kuna smoothie ukinywa aseeh.... very tasty [emoji39]Nitajitahid
[emoji3][emoji3][emoji3]..... wewe hutak tuitwe ankolii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naijua hiyo