Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Hellow mmesema nimetelekeza jukwaa haya twendee sasa na hii
Andaa nyama yako na kata vipande vipande size unayotaka kata na kitunguu pia tangawizi na kitunguu swaum mimi sipendi kitunguu swaum kisha weka kwenye foil
Baada ya hapo ifunge vzr kabisa zungua foil ya kutosha kisha weka jikoni ambalo lina mkaa kama una oven weka uko
Mkaa uwe umekolea vizur kuondoa nyama kunuka moshi
Unakuwa unageuza geuza lakini pia unakuwa unabadirisha foil baada ya dakika 7 ili yale maji maji yaishe na nyama yako ikauke vizur kama una nyama yenye mafuta basi usiweka mafuta kabisa
Baada ya maji kukauka nikaweka mafuta kwenye nyama kidogo maana hii ni nyama pori so ili ikauke vzr
Nikakata na kachumbali pia uku nasonga ugali karibuni