Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Uhakika BroIla tajiri kiboko 😂😂
Uhakika BroIla tajiri kiboko 😂😂
Tena ilikauka vzr sanaIlikuwa lain kweli?
Ngoja siku nijaribu umarinate kwa muda gan?Tena ilikauka vzr sana
Lipo aaunt si ndo waanaita nyama ya foil japo wengine wanachoma kidogo. Kisha wanaweka viungo wanaweka kwenye foilHili pishi niliwahi ona mtu anapika, siku note km ni lipo kweli, nilihisi ni yeye na kujiongeza kwake.
Leo naona kwako hapa, nyiee mtakuja mpike na visivyopikwa, wallah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umepewa condom za msaada unataka kupewa na demu hapohapoKama sina nyavu jeh View attachment 3389493
Inategemeana sasa na nyama yakoNgoja siku nijaribu umarinate kwa muda gan?
Naona home sweet home. Eight39 Mwachiluwi mbaji
Naona home sweet home. Eight39 Mwachiluwi mbaji
Naona home sweet home. Eight39 Mwachiluwi mbaji
Utakua mrithi wa lyapambile 🤣🤣Soon na anz kupepesuka na pombeee
Aha wee yule mzee simuwezi now kaleta chet cha milembeUtakua mrithi wa lyapambile 🤣🤣
Kwanza watu wamepita na vyeo vyake mwaka jana kawa PTE na tulimuonya ila pombeeUtakua mrithi wa lyapambile 🤣🤣
We wasikilize ujuteUsile na ugali maana ugali nasikia ni chakula cha ng'ombe! Ila wanaJF.
Sana unaweza pata mguu wa swal af bureeeUko vizuri aisee,,,, hiyo naweza! Nishapika sana kwa staili hio,,,,,!!!!!
Unapenda sana nyama pori, mazingira uliyopo inaonekana zinapatikana,,, nikienda Dom huwa nakula sana ! 😅