Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #61
Nitajaribu siku mojaIpo katikati
Nitajaribu siku mojaIpo katikati
Na wewe utumii ugaliAsante kwa somo...
Niliwahi kula siku moja nikatapika sana, huwezi kuniona nakula ugali.Na wewe utumii ugali
HahahaNiliwahi kula siku moja nikatapika sana, huwezi kuniona nakula ugali.
Ila tajiri kiboko 😂😂Niliwahi kula siku moja nikatapika sana, huwezi kuniona nakula ugali.
AnachekeshaHahaha
Tajiri anachangamsha gengeAnachekesha
Nilinsikia sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uku msikia kipind cha kifo cha kibao [emoji23]
Aaah wee Dear mie naogopa kansa, nimewahi ona mtu ameteseka hadi kufa.[emoji28] Acha uoga mdogo wangu.
Ngoja waje wa kataa ugali!Ni nzuri mkuu kwa UGALI.Hellow mmesema nimetelekeza jukwaa haya twendee sasa na hii
Andaa nyama yako na kata vipande vipande size unayotaka kata na kitunguu pia tangawizi na kitunguu swaum mimi sipendi kitunguu swaum kisha weka kwenye foil
View attachment 3389482
Baada ya hapo ifunge vzr kabisa zungua foil ya kutosha kisha weka jikoni ambalo lina mkaa kama una oven weka uko
View attachment 3389483
Mkaa uwe umekolea vizur kuondoa nyama kunuka moshi
View attachment 3389484
Unakuwa unageuza geuza lakini pia unakuwa unabadirisha foil baada ya dakika 7 ili yale maji maji yaishe na nyama yako ikauke vizur kama una nyama yenye mafuta basi usiweka mafuta kabisa
Baada ya maji kukauka nikaweka mafuta kwenye nyama kidogo maana hii ni nyama pori so ili ikauke vzr
View attachment 3389485
Nikakata na kachumbali pia uku nasonga ugali karibuni
View attachment 3389486
KabisaaTajiri anachangamsha genge
Bas ndio ivyo tuishi umoNilinsikia sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kansa mbaya jmn mhhhAaah wee Dear mie naogopa kansa, nimewahi ona mtu ameteseka hadi kufa.
Naogopa hatari.
Tena mnoo, mtu anateseka akisubiri kutwaliwa, [emoji22][emoji22][emoji22]Kansa mbaya jmn mhhh
Wakataa ugali ni njaa zile dar unga upo juuNgoja waje wa kataa ugali!Ni nzuri mkuu kwa UGALI.
Famchezo nn, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bas ndio ivyo tuishi umo
Mhh mimi naiogop piaTena mnoo, mtu anateseka akisubiri kutwaliwa, [emoji22][emoji22][emoji22]
Acha kabisaFamchezo nn, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja wkend ifike,ili baada ya kula nyama tunywe konyagi afu nimkuleWagumu Tunadumu mwambie shemeji afanye jambo
Lazima akugandeee na nguvu ya konyagiNgoja wkend ifike,ili baada ya kula nyama tunywe konyagi afu nimkule