Jinsi ya kupika Nyama ya kuoka na jiko na mkaa

Hajui et 😂😂
Sema mi nikichoma napenda itoke laini. Naweka nyama zenye mafuta mafuta viungo ikiwemo nyanya ambazo sizikati naweka vinegar na soya. Inaingia humo ikiwa na maji maji ya kutosha. Moto unatakiwa kuwa mdogo na uwe pande zote za foil. Kitu kinatoka laini. Ila sio nyama choma
 
Mh iyo sijajaribu
 
Back
Top Bottom