Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
ItafuteeKama sina nyavu jeh View attachment 3389493
😂😂😂😂 kwakweliIla Mwachi sasa unazidi, nini hiki? Lol
Creativity 😂😂😂 sina oveniIla Mwachi sasa unazidi, nini hiki? Lol
Sina oven na nilitaka nyama ya kuoka😂😂😂😂 kwakweli
Achana na kichaa yule njaa zileUsile na ugali maana ugali nasikia ni chakula cha ng'ombe! Ila wanaJF.
Au sio na bia pembeni sioHiyo kachumbari 😋😋
Hapo upate na ndizi mzuzu za kuchoma, achana na jiugali.
Sasa hii ni kuzidi, mbna kupeana kansa asubuhi asubuhi, LolCreativity [emoji23][emoji23][emoji23] sina oveni
Mkuu umetisha ukweli kabisa hilo pishi lipo kitaalam sanaSina oven na nilitaka nyama ya kuoka
Na inaivisha vzr ungekuwa karibu ungeonja imekauka vzr kwakweliSasa hii ni kuzidi, mbna kupeana kansa asubuhi asubuhi, Lol
Foil iivishe nyama kweli? Aaah wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hadi nimeogopa yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli
Asante ila wana jf wananichamba kuwa nimezod sasa 😂😂Mkuu umetisha ukweli kabisa hilo pishi lipo kitaalam sana
Hili pishi niliwahi ona mtu anapika, siku note km ni lipo kweli, nilihisi ni yeye na kujiongeza kwake.Na inaivisha vzr ungekuwa karibu ungeonja imekauka vzr kwakweli
Huyu kuna siku atatupikia nyama na foil ya mgombaHadi nimeogopa yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]